Nakuhurumia Utakufa vibaya wewe kijana (In mch Magembe's voice)
Dogo utakuja kunyea debe. Falsafa ya kipuuzi sana hiyo. Wanawake wamejaa mitaani.
Ukiona unachukuliwa mke, ni ushahidi tosha ulikuwa humtoshelezi. Hivyo kujichukulia sheria mkononi ni ujinga! Tafuta mnyonge wako, oa!
"Humtoshelezi" ni neno pana. Sijamaanisha ngono tu.Katika wanawake niliotembea nao wawili ni tamaa za kupata mali yaani kuwa na maisha mazuri.
Mmoja ni jamaa kuwa bize sana na kazi, alikuwa anafanya kazi za ulinzi na kumtukana.
Wengi wanatamaa za kupata hela. Kumbuka ndoa siyo ngono
Achana na wake za watu kijana, la sivyo na wewe yatakupata.
"Humtoshelezi" ni neno pana. Sijamaanisha ngono tu.
Ni fundisho kwa wengine, Eshim wake za watu kama unaipenda familia yako.
Yupo sahihi mke anauma haina mfano
Sisupport ila nawaonya Wahanga wa tukio.Acha kusapoti mambo ya kikatili ndugu.