Polisi wasimama kijijini kutoa taarifa ya mwanakijiji aliyeshambuliwa na nyuki, wanakijiji wote wakimbia

Hii chai ya Mufindi pale Mtwango!!!,okay in a seriously note,ukishambuliwa na nyuki hit the ground haraka sana,protect uso wako
Mkuu sumu ya Nyuki hata ukingatwa mgongoni Kama itaingia kiasi kuzuri na nyuki wa kutosha watakung'ata kukuimbia haleluya lazma
 
Bora mara mia mvamiwe hata na field force kuliko nyuki wenye hasira, nyuki ni wadogo lakini dozi wanayotoa si mchezo.
 
Ndiyo tulikimbia hao Polisi kwanini wasitumie bunduki kuua nyuki mmoja mmoja?
 
Mleta mada ni Mwanakijiji mmojawapo aliyewakimbia Polisi,

Halafu umeandika kama vile bado upo kwenye mbio za kuwakimbia Polisi,makosa ya kiuandishi ni mengi,hariri uzi wako kisha tuwekee na picha ya tukio.
 
Hii chai ya Mufindi pale Mtwango!!!,okay in a seriously note,ukishambuliwa na nyuki hit the ground haraka sana,protect uso wako
haisaidii hii mbinu unless ni wale nyuki wanaosafiri ila waliovurugwa hata ukiingia kwenye maji wanabaki juu wanakusubiri hadithi za mtaani zinagharimu sana uhai
 
Aisee nimecheka sana nikijaribu kuvuta picha kilichotokea
 
Sasa awo polisi kwanini wasipige bunduki juu kuwatawanya ao nyuki, ila kama unachoma tairi si wanakimbiaga moshi nikiwa pori bora kutembea na kiberiti
 
Wana wakaanza kupambania uhai...

Noma sana mkuu.
 
Nyuki noma. Nina bibi yangu mwaka jana November alishambuliwa na mzinga wote wa nyuki kwa muda mrefu raia walijaribu kumtoa wafail.
mpaka wanamtoa ashapoteza fahamu. Alipelekwa hospital akapata fahamu siku ya 2. Tulidhani anakufa dokta akasema ikipita 24 hours mtu aliyeshambuliwa na nyuki hajafa, basi huyo kapona.
Ila since then ziliibuka complication zake za kiafya, maana alikaa hospital week 2 mwili ukaanza banduka mgozi, vikatokea vidonda. Alikuwa na kansa nayo ikaibuka. Hivyo now week home, then week 3 hospital... ni mwendo huo.
 
Sasa mkuu hao polis gan walioshindw kumpgia simu m/kit wa kijj , MTENDAJ wa kijj/kata watoe Taarfa maan pia ingekuw njia sahihi na nzuri
 
[emoji51][emoji51][emoji854][emoji854][emoji55][emoji55]
 
Polis waache ukora waishi vyema na jamii ili wasiogopwe bali wapewe ushiriiano katika kulinda usalama.
Aidha hili jeshi lina wajinga wengi sana
 

Attachments

  • Screenshot_20240201_100909_Chrome.jpg
    30 KB · Views: 2
nyuki ni wapumbavu walishawahi kunidhalilisha katikati ya mji
walinishukia toka juu jengo nikakumbuka ile mbinu ya kulala chini ili wapite bhana kumbe walikua siwapitaji niliona
Umenikumbusha tulikuwa kwenye harusi moja Malangali shooter wa video akaenda sehemu ili apate picha nzuri za maarusi wakitoka kwenye gari kuingia kanisani, kumbe chini kwenye majani kuna siafu, bila kujua ametoka hapo kaingia kanisani wakaanza kumtafuna ndani kwa ndani akatelekeza camera kwenda kutafuta washroom akakuta kumefungwa, mwisho akakubali liwalo na liwe yaishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…