PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Walioanzisha "no reforms no election"ni akili kubwa coz wanajua watz ni waoga na hawatojitokeza kupiga kura!!

Ubaya ni kwamba wakizichukua kura walau kaki moja nchi nzima zinatosha kuhalalisha ushindi wa mtia Nia aliekusudiwa na wenye mamlaka!!
Maandamano yafanyike kwenye vituo vya kupigia kura
 
Walioanzisha "no reforms no election"ni akili kubwa coz wanajua watz ni waoga na hawatojitokeza kupiga kura!!

Ubaya ni kwamba wakizichukua kura walau kaki moja nchi nzima zinatosha kuhalalisha ushindi wa mtia Nia aliekusudiwa na wenye mamlaka!!
Kitu muhimu hakikisha unatoa akiba zako bank uwe na cash,

Chakula pia uwe nacho Cha kutosha japo kwa mwezi mmoja.
 
Hawawezi Logically

Wakiahirisha uchaguzi oct 29, labda itapunguza joto na mmkakati wa waandamanaji utavurugwa Ili kujipanga upya.

Ila polisi Hawa division 4,akili na inteligensia ya kulinda wapiga kura kuwatofautisha na waandamanaji,hawana maarifa hayo.
 
Duu watu Muna ona future
Niliwaonyesha yajayo,

Badala ya kuchutama, wakamtia Lissu gerezani na kuiondoa CDM kwenye run,

Sasa maandamano yamenunuliwa na gen z ambao hata siasa hawazijui .

Matokeo yake,

Polisi na majeshi ndio watakaoandamana na kuzuia uchaguzi batili usifanyike indirectly.

Aliyeweka wazo la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi alikaa mezani na kutumia akili kubwa sana.

Tusubiri.
 
Wakiahirisha uchaguzi oct 29, labda itapunguza joto na mmkakati wa waandamanaji utavurugwa Ili kujipanga upya.

Ila polisi Hawa division 4,akili na inteligensia ya kulinda wapiga kura kuwatofautisha na waandamanaji,hawana maarifa hayo.
Hakuna namna Polisi wanaweza kuzuia maandamano yakifanyika.

Vituo vyote Tanzania bara ni 97K, ukipeleka Askari mmoja mmoja asilimia 50% ya vituo ndio itakuwa na Askari polisi.

Waandamanaji wakiandamana hapo na kupania kufanya fujo polisi wakisema watumie force maana yake watawanya wapiga kura na Raia wakijihami maana yake vituo vitawaka, polisi watakufa na ugomvi utakuwa wa wanaotaka kutiki (ambao ni wachache) na wasio taka kutiki.

Hadi sasa Waandamanaji ni idadi yao ndio itaamua ushindi uwe saa ngapi
 
Hesabu za haraka ni kuwa,

Polisi wakijitokeza kuzuia maandamano, watazuia pia uchaguzi batili usifanyike kwa kuingia hofu ya wapiga kura kujitokeza vituoni.

Mtego mbaya sana police wamewekewa.
 
Wahuni hawana adabu,ni bora waadabishwe kabla kukuendeleza uhuni wao!

GEshi la akiba , mugambo wa kura na kukanyagana watakuwepo kunogesha show bila kusahau jeikeitii
 
Waje wote,

Ila hawana weledi wa kutofautisha waandamanaji na wapiga kura,

Hivyo Hawa chawa watagongwa rungu na mabomu ya machozi yatawahusu.

Ulitaka kuwa salama siku hiyo kama si muandamanaji, Bora ukae nyumbani.
 
GEshi la akiba , mugambo wa kura na kukanyagana watakuwepo kunogesha show bila kusahau jeikeitii
Nilipopiga hizi hesabu niliwaacha mgambo kwa sababu Waandamanaji pia ina essence pia ni Wanamgambo tena kwa idadi ni wengi kuliko wanajeshi wa kudumu, pia Raia kwa wingi wao wanaweza kuwa na impact kuliko wanajeshi sababu wao watafanya arson attacks watafocus na vitu strategic kama fueld depots, banks ofisi za serikali n.k, pia kumbuka kwamba Wananchi ndio walipa Kodi inayoendesha serikali wasipofanya kazi na kuzalisha maana yake haya majeshi hayataweza kujiendesha
 
Aisee ,wazee wa KAZI chafu, kumbe mumeamua kukinukisha kweli, haya
Cha msingi Amani na Haki zipatikane
 
Back
Top Bottom