PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
NAshauri jambazi Abduli atutengezee tshirt sie wapiga kura ili tusipigwe na virungu
 
Sasa vita unayotangaza,

Usitegemee kumuona mpiga kura yeyote akijitokeza siku hiyo,

Kutangaza kwako vita, ni kusaidia Lisu, Heche na watanzania kuzuia uchaguzi usifanyike .

Hapo vipi?
Siendelei kujadiliana na bwege kama wewe tukutane october 25 kwenye hayo maandamano yako

You are welcome to the war

Kuna wapiganaji kula kwao kuamka kwao kuishi, kupanda vyeo wanategemea kupigana vita tu

Karibu vitani
Mbona povu sana..wewe ni Mwigulu?
 
Hakuna kima yeyote atakayeweza kuzuia uchaguzi kwa namna yoyote. Kwa atakayethubutu kuleta ujanja hiyo siku asije kulalamika kwa kitakachomkuta.
Unao waita kima ndio hao hao mnao wabeba kwenye malori kuja kusikiliza ngonjera za CCM usije ukadhanwanao shabikia CCM ni wengine na CHADEMA ni wengine
 
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Wewe usihangaike sana kujiuliza. Siku ya Uchaguzi Mkuu wewe andamana. Majibu ya kuwatofautisha utayapata siku hiyo!
 
Mange : October 28 ni maandamano ya kitaifa

NRNE 💪 🔥
 
Swali hili mkashindwa kulijibu, mkaishia kumsweka Lissu ndani na kumpa kesi ya ugaidi.

Sasa mtego mmetegewa pabaya Ili mtumie hizo bunduki kutisha Hadi wapiga kura wasijitokeze kuhofia kushauriwa nna polisi au waandamanaji kwa bahati mbaya.

Kazi ipo.
 
Maandamano hayapo!

Utawala uliopo una baraka zote Toka viunga vya Siri vya taifa hili hasta kama Kuna ukiukwaji wa haki za binadamu !!

Wanaowaweka madarakani watawala ndio wanaoweza kuwaondoa madarakani!

Mwananchi asipewe mzigo wa maandamano Ili apambane na risasi wakati wenye uwezo wapo!!
 
Kumbe risasi ina macho ya kumkwepa mpiga kura ikamfuate muandamanaji.

Pia ukijitokeza kupiga kura utaonekana msaliti kwa waandamanaji, na watz wengi ni wanafuki. Wataogopa kujitokeza.

Kuwepo wa polisi armed mitaani siku ya uchaguzi, unatosha kuzuia uchaguzi usifanyike,

Achilia mbali impact ya waandamanaji.
 
Walioanzisha "no reforms no election"ni akili kubwa coz wanajua watz ni waoga na hawatojitokeza kupiga kura!!

Ubaya ni kwamba wakizichukua kura walau kaki moja nchi nzima zinatosha kuhalalisha ushindi wa mtia Nia aliekusudiwa na wenye mamlaka!!
 
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Hawawezi Logically

Back
Top Bottom