PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naona matumizi ya nguvu siku chache kabla ya siku ya uchaguzi, kukamatwa kwa baadhi ya watu potential wa upande mmoja na kuwa retained.
Bado haitaondoa hofu ya wapiga kura kujitokeza,

Muhimu hapo, watanzania wasikizwe, haki yao ya kupiga kura iheshimiwe.

Huu wizi wa mchana kweupe wa maboksi ya kura ndio umetufikisha hapa.
 
Kituo kimoja atakuwepo askari mmoja,

Niambie hawa polisi 400,000 waweze vp kuzuia maandamano nchi nzima kwa wakati mmoja siku ya uchaguzi?

Tumia kichwa chako vizuri kufikiri.
Nasubiri kwa hamu kuona hayo maandamano
 
Viongozi waandamizi wakikamatwa, siku chache kabla ya siku husika.

Je watu watatoka kuandamana.
Na polisi wakitanda kusaka waandamanaji siku ya uchaguzi,

Uchaguzi utafanyika?


Watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura?

Mbona swali ni rahisi sana?
 
Na polisi wakitanda kusaka waandamanaji siku ya uchaguzi,

Uchaguzi utafanyika?


Watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura?

Mbona swali ni rahisi sana?
Labda watakagua vitambulisho vya kupigia kura?

Kwa upande mwingine serikali inaweza support hoja ya no-election bila kutaka
 
Kituo kimoja atakuwepo askari mmoja,

Niambie hawa polisi 400,000 waweze vp kuzuia maandamano nchi nzima kwa wakati mmoja siku ya uchaguzi?

Tumia kichwa chako vizuri kufikiri.
Iwapo maandamano hayatazuiwa, waandamanaji wataandamana au watazuia watu wasipige kura?
 
Iwapo maandamano hayatazuiwa, waandamanaji wataandamana au watazuia watu wasipige kura?
Waandamanaji ndio wapiga kura wenyewe,

Hivyo automatically siku ya uchaguzi itabadilika kuwa siku ya maandamano.

Ingekuwa rahisi kuzuia maandamano ikiwa Lissu na Heche, wanhetoka na kuahirisha kuongoza maandamano jambo ambalo pia ni gumu.
 
Kazi kwelikweli,

Kama kutakuwa na maandamano kweli, Waandamanaji wakijitokeza, uchaguzi utafanyika kwenye mazingira magumu au usifanyike kabisa.
Polisi hauwezi kuweka silaha chini Ili akague vitambulisho vya wapiga kura, lazima awe na hofu kama binadamu,

Muhimu hapo ni kufuata matakwa ya no Reforms no Election, wanaodai mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi wana Nia njema, kwanini mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi yasifanyike?
 
Hellow!

Neno tu maandamano siku ya uchaguzi ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

Busara ni kuchutama, serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Maswali ya kitoto sana. Kama waandamanaji watapanga foleni ya wapiga kura , polisi hawawezi kutofautisha.
 
Maswali ya kitoto sana. Kama waandamanaji watapanga foleni ya wapiga kura , polisi hawawezi kutofautisha.
Unetumia kilevi?

Sasa waandamanaji wapange foleni ya wapiga kura?
 
Back
Top Bottom