PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kituo kimoja atakuwepo askari mmoja,

Niambie hawa polisi 400,000 waweze vp kuzuia maandamano nchi nzima kwa wakati mmoja siku ya uchaguzi?

Tumia kichwa chako vizuri kufikiri.
Wewe njoo zuia uchaguzi alafu utajua wanatosha au hawatoshi..
 
1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?
Mpiga kura huwa haendi kupiga kura akiandamana barabarani huheshimu sheria za barabara kuwa barabara ni kwa ajili ya magari sio waandamanaji

Pili mpiga kura huenda uelekeo wa kituo cga kupiga kura kilicho jirani sana na nyumbani kwake hatua chache tu toka alipo kwake

Tatu wapiga kura hawasafiri kwa makundi kwenda kituo chao cha jirani tu na nyumbani kwao.mtu hutoka mlangoni kwake kibinafsi mwenda kituoni ambako ni hatua chache tu toka kwake Hakijikusanyi mahali kawe kakikundi ndipo kakikundi hako kainuke kuwa kanaenda kupiga kura ki kiki kundi

Nne mpiga kura akiambiwa simama kuhojiwa na polisi hutoa ushirikiano hana majibu ya kijeuri

Tano mpiga kura ni.mtii sheria bila shuruti kwenye kabla kupiga kura kwenye kituo.chs kura na baada ya kupiga kura

Sita mpiga kura hana mayowe walabango sababu siku ya kupiga kura siyo ya mayowe wala mabango au vurugu mabarabarani au vituo vya kura .siku hiyo Huwa special kwa kupiga kura tu
 
Kituo kimoja atakuwepo askari mmoja,

Niambie hawa polisi 400,000 waweze vp kuzuia maandamano nchi nzima kwa wakati mmoja siku ya uchaguzi?

Tumia kichwa chako vizuri kufikiri.
Utapambana na nguvu ya wapiga kura

Unafikiri wewe ukirusha jiwe kuzuia wao kutimiza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura unadhani watakuacha hai? Ukiondoka mzima hapo mshukuru Mungu
 
Kituo kimoja atakuwepo askari mmoja,

Niambie hawa polisi 400,000 waweze vp kuzuia maandamano nchi nzima kwa wakati mmoja siku ya uchaguzi?

Tumia kichwa chako vizuri kufikiri.
JWTZ,polisi, FFU, magereza,JkT ,Usalama wa taifa,ulinzi shirikishi,mgambo,JkU ,wasiojulikana nk

Wote wanakusubiri wewe ulianzishe siku ya uchaguzi wakuanzishie

Utajamba cheche
 
Halafu umetusahau na sisi ambao kura hatupigi na wala hatuandamani....sisi polisi sijui watatujuaje🙆
 
Halafu umetusahau na sisi ambao kura hatupigi na wala hatuandamani....sisi polisi sijui watatujuaje🙆
Sisi tutaongezeka idadi kwa maana watu wengi wataacha kwenda kupiga kura kwa kuhofia vurugu za maandamano hasa kutokana na mikwara ya polisi.
 
Waandamanaji siku ya uchaguzi octoba hawahutaji kibali Cha maandamano,

Taarifa iliyotolewa inatosha.

Na ujue kuwa, kitendo Cha mpiga kura akiambatana na mke au jirani kwenda kupiga kura, njiani ataonekana anaandamana hivyo kushindwa kuepuka kipigo Cha polisi.
Hizi ni nadharia. Uhalisia unaweza kuwa tofauti kabisa.
 
Sisi tutaongezeka idadi kwa maana watu wengi wataacha kwenda kupiga kura kwa kuhofia vurugu za maandamano hasa kutokana na mikwara ya polisi.
Sio rahisi mkwara mbuzi huo

Vituo vya kupiga kura viko karibu tu na nyumbani na watu wanafahamiana
Wamuogope nani kwenda kupiga kura kwa huo mkwara mbuzi?

Vituo vya kupiga kura vingekuwa mbali na makazi ya ya watu labda hapo huo mkwara mbuzi wako ungefanya kazi

Eneo naishi ukija tu mtu mgeni nakujuq
Na mawakala mfano wa CCM na wajumbe wa nyumba kumi kila mtu nyumba kumi wanamjua ni rahisi tu kujua huyu sio wa eneo hili si mpiga kura na wana simu zote za polisi wanawatumia SMS tu na picha ya whatsapp waliyompiga na kuwarushia
Kuwa kuna mtu hapa hayuko katika watu wa nyumba kumi zozote hapa yupo hapa karibu na kituo mzingireni kwa nyuma

Mjambisheni cheche
 
Wewe njoo zuia uchaguzi alafu utajua wanatosha au hawatoshi..
Uwepo tu wa polisi barabarani kuzuia maandamano,tayari itazuia zoezi la kupiga kura.

Kwani hoja za Lissu zimeshindwa kujibiwa?
 
Utapambana na nguvu ya wapiga kura

Unafikiri wewe ukirusha jiwe kuzuia wao kutimiza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura unadhani watakuacha hai? Ukiondoka mzima hapo mshukuru Mungu
Si rahisi kama unavyodhani,

Uwepo wa polisi na uwepo wa waandamanaji,wote kwa pamoja watachangia uchaguzi kuyeyuka,


Tafakari vyema.
 
Kitakacho tokea ni kukamata Viongozi wa Chadema siku chache kabla ya Uchaguzi ili kufreeze maandamano.

Mbaya zaidi, Unakuta Viongozi ndo wagombea 😃.

Bado ni shida tuuu
Hayo yote yasaleta hofu ya wapiga kura kujitokeza vituoni,

Bado uchaguzi hautafanyika kama ulivyokusudiwa.
 
Mpiga Kura
1744110913579.png


Muandamanaji

1744111016980.png
 
Back
Top Bottom