PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hellow!

Neno tu maandamano siku ya uchaguzi ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

Busara ni kuchutama, serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
ushauri wako tume ukataa, hivi muandamanaji ashuindwe kujulikana kwasababu gani ? mpia kura anatoka nyumbani anaenda kituoni kupiga kura muandamanai anazurua barabarani kwa vikundi hao ndiyo watakao pigwa mpaka wachakae wanaoenda vituoni hawana shida watapiga kura wataenda nyumbani pia tukiona wanasumbua tunajaza kura za ndiyo tunafunga vituo tunatangaza matokeo maisha yanaendelea mnaendelea kuwa wapinzani kwa miaka mingine mitano
 
utakuwa na wino kwenye kidole hauna kipigo
 
Kabla hatujafika mwezi wa 6 maandamano yatakuwa yamezimwa! Hakuna mshenzi atakayethubutu kuharibu Uchaguzi!

Yaani mashetani yazime matakwa ya watu wema mamilioni? Hivi unaamini ninyi mashetani mpo wengi sana?
 
ushauri wako tume ukataa, hivi muandamanaji ashuindwe kujulikana kwasababu gani ? mpia kura anatoka nyumbani anaenda kituoni kupiga kura muandamanai anazurua barabarani kwa vikundi hao ndiyo watakao pigwa mpaka wachakae wanaoenda vituoni hawana shida watapiga kura wataenda nyumbani pia tukiona wanasumbua tunajaza kura za ndiyo tunafunga vituo tunatangaza matokeo maisha yanaendelea mnaendelea kuwa wapinzani kwa miaka mingine mitano
Saaa mpiga kura akiwa njiani kuelekea kituo Cha kupigia kura SI ndio uzururaji wenyewe?

Akikutana na kundi la waandamanaji njiani, polisi atofautisheje?

Usijitoe ufahamu.
 
Hellow!

Neno tu maandamano siku ya uchaguzi ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

Busara ni kuchutama, serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
We kaandamane siku hiyo utatuletea mrejesho
 
Unetumia kilevi?

Sasa waandamanaji wapange foleni ya wapiga kura?
tutakuomba kitambulisho cha mpiga kura, na tutakutizama usipoingia kwenye chumba cha kura tunajua ulienda kuandamana, ukiingia usipotoka na wino kwenye kidogo tunajua ni walewale, tunakuvuta pembeni,
 
utakuwa na wino kwenye kidole hauna kipigo
Wino atajipaka home illi polisi amtofautishe na muandamanaji akiwa njiani kuelekea kituoni?

Boresha kufikiri kwako🙏
 
tutakuomba kitambulisho cha mpiga kura, na tutakutizama usipoingia kwenye chumba cha kura tunajua ulienda kuandamana, ukiingia usipotoka na wino kwenye kidogo tunajua ni walewale, tunakuvuta pembeni,
tunakupiga mpaka ukome hautarudia tena kuandamana kisiri
 
Unazungumzia hawa waandamanaji wa Tiktok, fb na instagram? Au unaandika uzi ukiwa Kenya?
Haya majinga ht kupiga kura hawaendagi, wamebaki kuchochea. Wapiga kura wa kweli sahivi wako mashambani, machungani, wako ziwani na baharini wanavua. Haya mapoyoyo yanajifurahisha km mazuzu
 
Kituo kimoja atakuwepo askari mmoja,

Niambie hawa polisi 400,000 waweze vp kuzuia maandamano nchi nzima kwa wakati mmoja siku ya uchaguzi?

Tumia kichwa chako vizuri kufikiri.
We idadi ya polisi kuwa wako 400,000 umeitoa wapi? Kumbe unaongea vitu bila kufanya research?
 
Kituo kimoja atakuwepo askari mmoja,

Niambie hawa polisi 400,000 waweze vp kuzuia maandamano nchi nzima kwa wakati mmoja siku ya uchaguzi?

Tumia kichwa chako vizuri kufikiri.
We nyumbu huna akili we ni zero brain, andamana utajua hujui
 
Waandamanaji ndio wapiga kura wenyewe,
Kwamba Tanzania nzima haipo tayari kuingia kwenye uchaguzi? Lazima kuna watu ambao wapo tayari kupiga kura.

Swali, umeamua kutokupiga kura ukataka kuandamana, ukapata kibali, utaandamana au utazuia haki ya mwingine kupiga kura?
 
We nyumbu huna akili we ni zero brain, andamana utajua hujui
Hujui kutoka nyumbani WEWE na mkeo kwenda kituo Cha kupiga kura ndio maandamano yenyewe?

Swali lipo hapo, polisi aliyebeba silaha akutofautisheje?

Labda ununue tshirts za chawa wa mama uende nazi kituoni Ili polisi akutofautishe na muandamanaji.
 
Kwamba Tanzania nzima haipo tayari kuingia kwenye uchaguzi? Lazima kuna watu ambao wapo tayari kupiga kura.

Swali, umeamua kutokupiga kura ukataka kuandamana, ukapata kibali, utaandamana au utazuia haki ya mwingine kupiga kura?
Waandamanaji siku ya uchaguzi octoba hawahutaji kibali Cha maandamano,

Taarifa iliyotolewa inatosha.

Na ujue kuwa, kitendo Cha mpiga kura akiambatana na mke au jirani kwenda kupiga kura, njiani ataonekana anaandamana hivyo kushindwa kuepuka kipigo Cha polisi.
 
Wino atajipaka home illi polisi amtofautishe na muandamanaji akiwa njiani kuelekea kituoni?

Boresha kufikiri kwako🙏
kwani mtu anayeingia kituoni na anayetoka hawajulikani? ukiingia ukatoka bila wino tunakufinya mpaka ukome
 
Hujaeleza njia za polisi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji!
 
Back
Top Bottom