PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watawala na chama chao wanadhani wanahodhi kila kitu kila mtu. Ukiangalia yanayotokea afrika magharibi unaweza kuelewa kumbe tusiwachukuliea watanzania kwa poa. Anaweza kutokea koplo 1 huko kwenye mamilipuko akajitoa mhanga akachukua nchi tukabaki kushangaa! Kwa nini wanasiasa wasikae chini wakaweka mambo sawa ili kuwepo na ground sawa kwa wagombea wote kuondoa hii sintofahamu? Hivi tunafikiri jeshi letu lipo tayari kuua mamia kwa maelfu ya watanzania wenzao kwa ajili ya maslahi ya watu wachache nchi hii? Labda tusichokifahamu wengi ni kwamba wenye nguvu (Power) ni jeshi, akitokea mjeshi 1 leo akasema tunataka katiba mpya, tume huru ya uchaguzi hakuna wa kupinga na utaona rais anatangaza kuanza kwa mchakato haraka sana. Tusifike huko sisi siyo kisiwa, afrika ni vitu vinawezakana sana hivi. Tukae chini tumalize mambo yetu kistaarabu, tufanye uchaguzi bila vurugu.
 
Serikali kujaribu kuweka polisi wazuie maandamano siku ya uchaguzi ndio kushiriki kuzuia uchaguzi,

Serikali itafute njia ingine ya kuwafanya Lissu na Heche kurudi kutamka kuwa wameahirisha maandamano.

Vinginevyo....
 
Si rahisi kama unavyodhani,

Uwepo wa polisi na uwepo wa waandamanaji,wote kwa pamoja watachangia uchaguzi kuyeyuka,

Tafakari vyema.
Wataingia wapi ? Kituo kipi labda .Ndoto za mchana

Askari wapo wajua vita za mjini na vichororoni

nikupe siri kidogo tu ukiandamana barabarani mfano dar es salaam au mjini popote hakikisha hakuna uchochoro wa wewe kuthubutu kukimbilia

polisi wa mabomu ya machozi watakutwanga barabarani usije jitia unakimbilia kwenye uchochoro huko kunakuwa na makomandoo wasio na uniform wanakusubiri kukupa kipigo utakachopata huko utajuta kuzaliwa halafu watakutelekeza huko huko hawakubebi utajijua

Na wewe kama sio wa eneo hilo kama mkazi ndio kabisa utakoma hakuna wa kukujali

Ukipigwa bomu la machozi jisalimishe tu uchochoroni hakuko salama huko wanajua ndiko utakimbilia kwa saikolojia za kivita wapambanaji wa vita za mijini watakuwa wanakusubiri kwa hamu mno huko utakufa.Shauri yako
Labda waandamane porini sio barabarani kwenye uwazi

Barabarani unajiandikia hati ya kifo mwenyewe na hakuna wa kukuzuia kufa kama umamua
 
Kama unafikiri sawasawa,

Muda wa polisi kupiga kura utakuwepo kweli?

Huo ni serikali itazuia haki ya polisi kupiga kura ambayo ni haki yao?

Na hayo mabomu ya kupiga waandamanaji, Moshi wake utachagua waandamanaji pekee ndio watokwe mmachozi ukiwabagua wakazi na wapiga kura?
 
Kiukweli, kuzuia maandamano kwa kutumia polisi siku ya uchaguzi ni kuzuia uchaguzi usifanyike kwa namna ingine.

Serikali ichutame!
 
Watawala na chama chao wanadhani wanahodhi kila kitu kila mtu. Ukiangalia yanayotokea afrika magharibi unaweza kuelewa kumbe tusiwachukuliea watanzania kwa poa. Anaweza kutokea koplo 1 huko kwenye mamilipuko akajitoa mhanga akachukua nchi tukabaki kushangaa! Kwa nini wanasiasa wasikae chini wakaweka mambo sawa ili kuwepo na ground sawa kwa wagombea wote kuondoa hii sintofahamu? Hivi tunafikiri jeshi letu lipo tayari kuua mamia kwa maelfu ya watanzania wenzao kwa ajili ya maslahi ya watu wachache nchi hii? Labda tusichokifahamu wengi ni kwamba wenye nguvu (Power) ni jeshi, akitokea mjeshi 1 leo akasema tunataka katiba mpya, tume huru ya uchaguzi hakuna wa kupinga na utaona rais anatangaza kuanza kwa mchakato haraka sana. Tusifike huko sisi siyo kisiwa, afrika ni vitu vinawezakana sana hivi. Tukae chini tumalize mambo yetu kistaarabu, tufanye uchaguzi bila vurugu.
Huelewi mfumo wa Jeshi nchi za Afruca magharibi zinazoongea kifaransa wewe

Kule vyeo vikubwa vinaanzia chini kwenda juu kwenye utaendaji

Utakuta mtu koplo lakini kwenye operation za kivita ana cheo cha brigadier
.ndio maana askari unawaita wa chini wana uwezo wa kupindua nchi

Sisi vyeo vinaanzia chini kwenda juu .Koplo wa Tanzania hawezi jilinganisha na koplo wa nchi zinazoongea kifaransa za Afrika Magharibi
.
Frustration zako zisikutoe akili
 
Viongozi waandamizi wakikamatwa, siku chache kabla ya siku husika.

Je watu watatoka kuandamana.
hakuna atakae toka na hakna atakaepiga kura, uvccm ndio watafoleni kupiga kura. Swali uchaguzi wapiga kura hautafika 10milion hata kura feki zitumike. Uchaguzi utakuwa umefanikiwa? no
 
Na hayo mabomu ya kupiga waandamanaji, Moshi wake utachagua waandamanaji pekee ndio watokwe mmachozi ukiwabagua wakazi na wapiga kura?
Jidanganyeni karibu muandamane siku ya kupiga kura mtaelewa siku hiyo inshallah kama mtaweza kufika vinara wa kupanga hayo maandamano
 
Hii ngoma hitaji ubabe swala ni kuchutama ,kutoka katika mkwamo huu wa kisiasa ,
 
Jidanganyeni karibu muandamane siku ya kupiga kura mtaelewa siku hiyo inshallah kama mtaweza kufika vinara wa kupanga hayo maandamano
Hivi maana ya maandamano nchi nzima unalijua kweli Tena siku ya uchaguzi ambapo polisi watasambaa wawili wawili NCHI nzima kwenye vituo kusimamia uchaguzi?

Hao wa kupiga mabomu watokwe wapi? Labda waahirisha uchaguzi kushufhulikia maandamano, hapo kidogo nitaelewa.

Nadhani unafananisha na maandamano Yale ya mkoa mmoja.
 
Ikifika siku ya uchaguzi wewe ingia kwenye kuandamana ili tuone jamaa wataweza kukujua au vp
Hao polisi WA kuzuia waandamanaji mmtatoa wapi ilhali Kila kituo kitakuwa na askari mmoja tu Kila kituo kusimamia uchaguzi?

Nadhani ukubwa wa neno maandamano siku ya uchaguzi hamujui wala kuichukua kwa uzito wake!
 
Hellow!

Neno tu maandamano siku ya uchaguzi ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama, serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Bonge la point!
 
Hivi maana ya maandamano nchi nzima unalijua kweli Tena siku ya uchaguzi ambapo polisi watasambaa wawili wawili NCHI nzima kwenye vituo kusimamia uchaguzi?

Hao wa kupiga mabomu watokwe wapi? Labda waahirisha uchaguzi kushufhulikia maandamano, hapo kidogo nitaelewa.

Nadhani unafananisha na maandamano Yale ya mkoa mmoja.
Siendelei kujadiliana na bwege kama wewe tukutane october 25 kwenye hayo maandamano yako

You are welcome to the war

Kuna wapiganaji kula kwao kuamka kwao kuishi, kupanda vyeo wanategemea kupigana vita tu

Karibu vitani
 
Siendelei kujadiliana na bwege kama wewe kama tukutane ocyober 25 kwenye hayo maandamano yako

You are welcome to the war

Kuna wapiganaji kula kwao kuamka kwao kuishi, kupanda vyeo wanategemea kupigana vita tu

Karibu vitani
Sasa vita unayotangaza,

Usitegemee kumuona mpiga kura yeyote akijitokeza siku hiyo,

Kutangaza kwako vita, ni kusaidia Lisu, Heche na watanzania kuzuia uchaguzi usifanyike .

Hapo vipi?
 
Bonge la point!
Huelewi hata wakipiga kura watu watatu kwenye kituo wawili wakampa mgombea kura ya ndiyo mmoja akasema hapana hao wawili wanatosha kwa tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea awe wa uraisi, ubunge au udiwani kuwa mshindi

Sheria ya uchaguzi hakuna popote inaposema wapiga kura idadi yao wawe wangapi? Kumtangaza mgombea uraisi ubunge au udiwani .
Hamna kitu kama hicho

Nchi nzima wapiga kura waweza kuwa hata mia tu na wakatosha kuchagua Raisi au mbunge au diwani

Tunaposema huo upumbavu wa no reform no elections ni ujinga mtupu hatutanii tumesoma katiba ya nchi sheria za uchaguzi

G55 wa Chadema wamejitahidi sana kuelewa hilo ila team Lisu wajinga fulani hivi
 
Huelewi hata wakipiga kura watu watatu kwenye kituo wawili wakampa mgombea kura ya ndiyo mmoja akasema hapana hao wawili wanatosha kwa tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea awe wa uraisi, ubunge au udiwani kuwa mshindi

Sheria ya uchaguzi hakuna popote inaposema wapiga kura idadi yao wawe wangapi? Hamna kitu kama hicho

Nchi nzima wapiga kura waweza kuwa hata mia tu na wakatosha kuchagua Raisi au mbunge awe nani

Tunaposema huo upumbavu wa no reform no elections ni ujinga mtupu hatutanii tumesoma katiba ya nchi sheria za uchaguzi

G55 wa Chadema wamejitahidi sana kuelewa hilo ila team Lisu wajinga fulani hivi
Kwani kufanyika Reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi kuna hasara zipi na faida zipi?

Karibu 🙏
 
Viongozi waandamizi wakikamatwa, siku chache kabla ya siku husika.

Je watu watatoka kuandamana.
Viongozi waandamizi wakikamatwa ndio watakuwa wameharibu kabisa. Bora tu warejee kwenye reforms zinazohitajika na watanzania
 
Back
Top Bottom