PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏

Yaani hata yasipofanyika siku hiyo. Hilo tangazo peke yake na nia inatosha kufanya wapiga kura wasizidi 30 %. Kitendo cha police na jeshi kutokea mtaani kulinda amani kitasabahisha watu wakose amani na Uhuru wa kujitokeza kupiga kura.

Naanza kuamini huu mkakati utakuwa na impact.
 
Na wakati wa uchaguzi ni nyeti sana,

Tusijeshangaa wazee wakaingilia.
 
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Polisi wa sasa hivi hawaiheshimu sheria bali wanawaheshimu watawala kwahy hapo kutofautishi kwa hapa tanzania ni ngumu maan hawana sheria
 
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Mkuu umewaza vzr saaana yaan. Watawapa vitambulisho na ubaya waandamanaji wata tembea na vutambulisho vya kura 😆😆😆
 
Ukijitokeza kupiga kura siku hiyo " UTAPIGWA RUNGU"😀
Na ukipita barabarani siku hiyo utapigwa rungu.

Ilikaa nyumbani utapigwa rungu na waandamanaji.

Kiufupi, siku ya uchaguzi itakuwa ndiyo machafuko day, yaani ndiyo siku ya kuliamsha dude ktk taifa hili
 
Uvae pia bukta 4
 
Sio rahisi mkwara mbuzi huo

Vituo vya kupiga kura viko karibu tu na nyumbani na watu wanafahamiana
Wamuogope nani kwenda kupiga kura kwa huo mkwara mbuzi?

Vituo vya kupiga kura vingekuwa mbali na makazi ya ya watu labda hapo huo mkwara mbuzi wako ungefanya kazi

Eneo naishi ukija tu mtu mgeni nakujuq
Na mawakala mfano wa CCM na wajumbe wa nyumba kumi kila mtu nyumba kumi wanamjua ni rahisi tu kujua huyu sio wa eneo hili si mpiga kura na wana simu zote za polisi wanawatumia SMS tu na picha ya whatsapp waliyompiga na kuwarushia
Kuwa kuna mtu hapa hayuko katika watu wa nyumba kumi zozote hapa yupo hapa karibu na kituo mzingireni kwa nyuma

Mjambisheni cheche
Mimi nazungumzia mikwara ya polisi, polisi ndio huwa wanapiga mikwara ili kuwatisha watu wasiandamane. Sasa watu wataona bora wakae nyumbani kuepuka kukumbana vurugu.
 
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Kuandamana siku ya uchaguzi ni uvunjifu wa amani,na kuwazuia watu haki yao ya kupiga kura, nyie endeleeni kujiharibia tu
 
Uwepo tu wa polisi barabarani kuzuia maandamano,tayari itazuia zoezi la kupiga kura.

Kwani hoja za Lissu zimeshindwa kujibiwa?
Hatuendi barabarani huku Kijijini kwetu, tunaenda kituo cha kupigia kura na tunajuana
 
Sasa polisi wamezuiwa na Tume kuruhusu mpiga kura kuvaa sare yoyote ya chama!

Pia tujiulize,

Polisi anayezunguka kuzuia maandamano, apate wapi haki yake ya kupiga kura?
Hazuii maandamano analinda usalama wa raia na mali zao
 
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Wataanza kwa kuwakamata Viongozi Waandamizi wa Chadema.
Then Maandamano yatasambaratika.
Hence Uchaguzi Successful
 
Hatuendi barabarani huku Kijijini kwetu, tunaenda kituo cha kupigia kura na tunajuana
Lissu atawafikishia Elimu soon, nawe utazuia uchaguzi batili ukielimika,

Taja upo Kijiji kipi?
 
Wataanza kwa kuwakamata Viongozi Waandamizi wa Chadema.
Then Maandamano yatasambaratika.
Hence Uchaguzi Successful
Kwani maandamano yanafanyika eneo moja?

Maandamano ni Nchi nzima siku ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom