PreGE2025 Polisi watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura siku ya uchaguzi octoba 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huelewi hata wakipiga kura watu watatu kwenye kituo wawili wakampa mgombea kura ya ndiyo mmoja akasema hapana hao wawili wanatosha kwa tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea awe wa uraisi, ubunge au udiwani kuwa mshindi

Sheria ya uchaguzi hakuna popote inaposema wapiga kura idadi yao wawe wangapi? Hamna kitu kama hicho

Nchi nzima wapiga kura waweza kuwa hata mia tu na wakatosha kuchagua Raisi au mbunge awe nani

Tunaposema huo upumbavu wa no reform no elections ni ujinga mtupu hatutanii tumesoma katiba ya nchi sheria za uchaguzi

G55 wa Chadema wamejitahidi sana kuelewa hilo ila team Lisu wajinga fulani hivi
Let's wait n see!
 
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Wapiga kura watajipanga mstari
 
Mmmh we jamaa umewaza mbali sana. Una hoja usikilizwe... na kama kweli hawa Chadema wakishikilia msimamo huo na kuhamasisha watu ambao tunawaona kwenye mikutano yao, trust me hakuna mwananchi atajitokeza kwenye kura wala maandamano. Mwisho wa siku ni upuuzi kuzuia uchaguzi au kuiba kura. Sio kila mtu haipendi CCM na sio kila mtu anaipenda Chadema.
#Big Thinker
#Big Brain
 
Kila njia? 😁😁

Nasubiria aibu kama Ile ya Mwamba alipojikuta peke yake 😂😂
Shida itakuwa kwenye kutofautisha wanaoandamana kwenda kupiga kura dhidi ya wanaoandamana kwenda kupiga kura na kurudi home.
 
Mbona simple tuu ,doria ipo Kwa kazi gani? Kuzuia maandamano Huwa ni kukamata viheregele kama viongozi nk ,hapo hutaona hata mmja anaandamana 😂😂
 
Haya sawa.
Na uwe wa kwanza kuandamana na kihamasisha watu kabla ya siku ya kupiga kura usiishie kikificha jf harafu utapata majibu jinsi Polisi walivyofuzu mafunzo ya kitofautisha muandamanaji na mpiga kura.
 
Kama ndo Ivo hamna mtu atajitokeza kupiga kura kwa hofu ya kukamatwa na polisi waliozagaa nchi nzima

Note: Watanzania ni waoga(msemo wenu mnapenda kutumia)
 
Hellow!

Neno tu "MAANDAMANO SIKU YA UCHAGUZI" ni taharuki tosha.

Pale kariakoo, polisi walijaribu kushawishi wafanyabiashara wafungue maduka, haikuwezekana sababu ya hofu ya fujo na hofu ya usalama na hofu ya mwitikio mdogo wa wateja.

Saaa nimekaa hapa nauliza hawa polisi wetu ambao huwa wanapiga mabomu hovyo, polisi wanapiga virungu Kila wataekutana naye,

1. Wataweza vipi kutofautisha mpiga kura na muandamanaji Ili kumtia mbaroni muandamanaji na kumlinda mpiga kura?

2. Je wapiga kura watapigwa chapa usoni yenye kuwatofautisha na waandamanaji?

3. Kuweka polisi barabarani kuzuia waandamanaji siku ya uchaguzi,kutanyima haki ya polisi kupiga kura, hii ni sawa?

4. Kwa uzoefu, Kila kituo huwa na askari mmoja tu kusimamia usalama kituoni na vituo vingine hukosa askari, sasa hao askari wa kuzuia maandamano watoke wapi, watakodishwa toka nchi jirani?

Busara ni kuchutama,
Serikali isikize hoja na kuzifanyia kazi japo kwa shingo upande!

Nawasilisha 🙏
Haha..mkuu una akili sana..mtu mwenye akili ya kawaida hawezi elwwa hii pattern...
 
Back
Top Bottom