Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi


Huyo mama ameongezwa Happ kuokoa ndoa ya masanja. Huyo mwanamke alienda mwenyewe kwa katibu wa kanisa.
 

Kuwa mvumilivu mpaka ijumaa Mambo mengi yatakuwa yamewekwa wazi.
 
Kwenye hi kesi supect namba moja ni masanja. Kwanini amesafiri kwenda nje halfu baadae katibu wa kanisa anafariki.
What if kukimbia kitu..?? Mpelelezi yeyote hii ishu hawezi iweka kwa watu hawa watatu mke, mume na katibu... Lazima aende mbali zaidi
 
Mtu unaweza kutolewa kafara hivihivi, mimi siamini kama huyo dogo kajinyonga kweli why kuna matukio ya kutengeneza defence kabla ya tukio kwanini huyo mke wa jamaa aende na mtu mzima hapo huo ni ushahidi tosha wa polisi kuanzia uchunguzi hapo. Mimi siamini kijana mzuri handsom vile ajiuwe kisa mke wa mtu tena mchungaji wakati yule dogo kwa muonekano wake na kipato anaweza kuwa na pisi yoyote kali sana hapa mjini. Hii ni kafara kabisa. Mimi siwezi kujiua kisa mke wa mtu. Na kwanini zitapakae tuhuma za usaliti wa kizushi je kama hizo tzt za jamaa wakati anatongozaa mke wa mshikaji hakuwa na simu vipi kwamba simu yake ilitengeneza mchongo ili ionekane alituma tzt haya matukio hayaingii akilini kabisa
 
Wanamuonea Monica, pengine Hata mke wa marehemu kamuua mumewe na kuiframe hio barua ili monica na mumewe wawe suspects
 
Ibada ya mazishi iliongozwa na Masanja au?
 
Mke wa katibu kahojiwa??,nani aliongea na katibu mara ya mwisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…