HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Hii ni hasara juu ya hasara, mpaka uue ni lazima hilo jambo liwe akilini mwakoBora hivyo.
Sasa unakuta mtu anaua anaishia jela. Ili iweje?
Rose mbona hata sio mtu mzima jamaniPastor Rose Shaboka
[emoji28]βKatibu nimekuja kukuonya usinitumie tena msg za mapenziβView attachment 2377296
Rose mbona hata sio mtu mzima jamani
πππ Rose nimesoma naye Sasa uliposema mtu mzima umenitia unyonge ina maana na Mimi ndio nimekuwa mtu mzima πππ anyways nimeshazeeka hata hivyo πππWe hujui kuwa huyo ndiye mshauri na mlezi wa Monica?
Rose ni mtu Mzima kiroho Ila kimwili bado hajazeeka
Ha ha ha kaka mkubwa yaukweli hayo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kazitolea akiwa wapi ! [emoji23]Zimetolewa na marehemu mwenyewe
Huna Akili kama Kukaziwa Mke Kwako Juha Wewe ni Kawaida tuanikie ( tuwekee ) hapa Namba za Simu za Mkeo ili 'tukukazie' Hadi 'mtaroni' Kwake tuone kama hutochukia na utasamehe.Utaishia jela tuu na kama una watoto utawaharibia maisha yao kwa vihasira vya kipuuzi, mke au mume akitoka nje ya ndoa na mapenzi yameisha achana naye tafuta mwingine oa, kama bado unampenda msamehe maisha yaendelee, haya mambo ya kupiga au kuuana ni kujiongezea mabalaa zaidi katika maisha yako na familia yako
Kwani mtu mzima anaanzia miaka mingapi!Rose mbona hata sio mtu mzima jamani
Hivi unaanzaje kukaa na mtu wa namna hii. Hatari sana.Nampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Nimesema ni mtu mzima 'kirihoy' ina maana wewe huelewi baba au mama wa kiroho alivyo?πππ Rose nimesoma naye Sasa uliposema mtu mzima umenitia unyonge ina maana na Mimi ndio nimekuwa mtu mzima πππ anyways nimeshazeeka hata hivyo πππ
Nimeshakuelewa mkuu...pamojaN
Nimesema ni mtu mzima 'kirihoy' ina maana wewe huelewi baba au mama wa kiroho alivyo?
Rose ana watoto wengi sana wa 'kiroho', hata Monica ni mwanaye wa kiroho
upo sasa Mzigo umeliwa sana na KatibuHiyo ni lugha tu ya funika kombe mwanaharamu apite
OK tough guy, siku wakikukazia wa kwako (kisha kazwa kwanza hujui tuu ) mtandike risasi tuu then watafute waliokukazia uwatembezee kichapo, ukimaliza njoo uweke matokeo hapa, nina uhakika utakuwa jela au umeokotwa kwenye mtaro na wanao watakuwa wanaishi na bibi yaoHuna Akili kama Kukaziwa Mke Kwako Juha Wewe ni Kawaida tuanikie ( tuwekee ) hapa Namba za Simu za Mkeo ili 'tukukazie' Hadi 'mtaroni' Kwake tuone kama hutochukia na utasamehe.
Mnafiki mkubwa Wewe........!!!!!!!
Wafuasi poyoyoAmeshamsamehe mbona na yupo kwenye mfungo na waumini kwa siku Tano