Kinaeleweka
Senior Member
- Nov 10, 2014
- 153
- 121
Kuna kitu katika hiliPolisi inshort wameelezea last part ya barua.. Mwanzoni wa barua ya marehemu inashukuru kwa penzi zito alilompa na waliwekeana ahadi na marehemu aliiweka moyoni ..ila kitendo Cha kumwacha kimemuumiza Sana...So polisi wanaelezea tu last part ya kukataliwa mengine hawaweki wazi...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app