Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi inshort wameelezea last part ya barua.. Mwanzoni wa barua ya marehemu inashukuru kwa penzi zito alilompa na waliwekeana ahadi na marehemu aliiweka moyoni ..ila kitendo Cha kumwacha kimemuumiza Sana...So polisi wanaelezea tu last part ya kukataliwa mengine hawaweki wazi...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna kitu katika hili
 
Hapa kuna swali,mama mchungaji katongozwa na kakataa(kama inavyodaiwa) sasa kuna sababu ipi ya kumfanya ASAMEHEWE??
Si kwa sababu alitongozwa na kwenda kumkataza marehemu nyumbani kwake akiwa na mama mwingne.Hujaona sababu tu
 
Huna Akili kama Kukaziwa Mke Kwako Juha Wewe ni Kawaida tuanikie ( tuwekee ) hapa Namba za Simu za Mkeo ili 'tukukazie' Hadi 'mtaroni' Kwake tuone kama hutochukia na utasamehe.

Mnafiki mkubwa Wewe........!!!!!!!
Kashasema,atamwacha mke wake au kumsamehe mkuu.Usimwamulie cha kufanya utakacho wewe
 
Masanja hatoboi hii kesi watu washaweka pesa za kumframe .. yeye utajir alioupata wa siri ndo huu unamtafuna. Kama alibeba sembe halaf akatokomea nayo akawa bilionea sasa waliolizwa wamekuja kivingne.. au kama watu waliwekeza pesa kwake halaf yeye akadhulum na kuwa tajir na kujificha kwenye kivul cha uchungaj. Sada wamekuja kivingne na watamframe hii kesi hachomok. Nakaaa paleee
Kesi ilishaisha mkuu
 
Nampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a real man!
uwanaume sio kumsamehe mkeo aliyeto** nje hlfu huyo aliyejilia anajinadi kwa penzi tamu alilopewa..Kijana usiwe mzembe mzembe
 
Kwahiyo wanbataka kusemaje? Kwamba hajaliwa? Kweli masanja kaumbuka unavyompostihi mkewe kwa mbwembwe ishiiiiiiiii, wacha akukomeshe.sisi tuko upande wa katibu masanja endelea kutoa pesa yako tutafuta watetezi
 
Sisemi kwa sauti ila kila mtu ajaribu kufuatilia hili, mademu wa kisukuma wanapenda ngono mfanowe labda mademu wa kipare, mtakuja kuamini.
Hawa wa kipare hatari [emoji16][emoji16]wanapenda dudu haaao na hawalichoki,huwa najiuliza sijui wanalishwaga nini kuwa hivi
 
uwanaume sio kumsamehe mkeo aliyeto** nje hlfu huyo aliyejilia anajinadi kwa penzi tamu alilopewa..Kijana usiwe mzembe mzembe
Kwa mtazamo wako ni sahihi, haimaanishi yeye hayupo sahihi
 
Ala!! Sikuinyaka hii, kumbe mke ndio alitia ngumu kuvua chupi, basi mwanamke apongezwe na masanja tumsifu ana mke muaminifu.
tafuta msg za mchizi kabla hajafa ndio utaelewa Kama alikula tayari au alikuwa anaomba,wanajaribu kufunika
 
Hii imehifadhiwa na wahafidhina tayari masanja a play good kisiasa,

Once ana step nje ya mfumo wa sisiemu hili sakata litaibuliwa na ushahidi utawekwa wazi na masanja atapotezwa
 
Masanja hatoboi hii kesi watu washaweka pesa za kumframe .. yeye utajir alioupata wa siri ndo huu unamtafuna. Kama alibeba sembe halaf akatokomea nayo akawa bilionea sasa waliolizwa wamekuja kivingne.. au kama watu waliwekeza pesa kwake halaf yeye akadhulum na kuwa tajir na kujificha kwenye kivul cha uchungaj. Sada wamekuja kivingne na watamframe hii kesi hachomok. Nakaaa paleee
U make some sense[emoji3061]
 
Back
Top Bottom