Pre GE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

Pre GE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya, kesho watu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa wamesema kutakuwa na mvua kubwa sana, sasa sijui mtasema chanzo cha mvua ni CCM, ndio maana maandamano yamekwama
 
Screenshot_2024-01-23-18-21-34-1.png
 
Kila mtu kachoka Sukari haibaguwi INATANDIKA kila kono...Umeme hauletwi kwa kuendesha mikokoteni

KARIBUNI WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI DINI 8KABILA KWENYE MAANDAMANO MAKUBWA KUTOKEA TANGU TUPATE UHURU

WAKATI NI SASA WACHACHE NO
 
Back
Top Bottom