Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

Vipi mpiga picha hachukuliwi hatua kwa kupiga picha polisi wakiwa kazini?
 
Ume andika upuuzi ina maana hakuna polisi wenye Rasta ambao umesha waona?
 
 
Polisi wenye NYWELE ndefu wapo wengi mnoooo... Na madevu wapo wengi tu....
 
Wewe wa wapi? Polisi wapo wenye rasta na zaidi ya unavyodhani. Nchi ni ya kihuni kwenye kila nyanja.
 
Huyo bonge nae mzembe sana,si angeondoka na kichwa cha mbele yake huyo kimbaumbau.
Zamani tuliocheza kung-fu badae shotokan,jiu-jitsu na shogyuru wote wangerudi hawana meno kwao
Nyuma ya keyboard 😁
 
Uchunguzi ukimalika mje mintage na mniite 🐕 nipo hapa
 
You are so naive .
 
Imeisha hiyooo 😄

Ova
 
Huu ujinga wa polisi una kikomo chake. Jaribio lao la utekeaji likishafeli wapo fasta kufanya damage control. Hili ni jeshi la kigaidi sasa

Wananchi wsmeona yote. Saa ya mapatilizo yaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…