Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

Duh wapo hadi wenye rasta we uko Tanzania ipi mkuu
 
Hii nchi imetoboka mahali.
 
Unachoongea bro siyo kweli. TISS au UWT a.k.a WASIOJULIKANA huvaa na kuwa na mwonekano wa kiraia zaidi ili wasionekana kuwa ni watu wa mfumo.
 
We unaongea nini ,watu wanafuga rasta sembuse nywele ndefu, hujui dunia
 

Huoni aibu ulivyo mjinga?
 
Polisi wanaongoza kwa u-smart!!???
Utakuwa huishi Tanzania wewe.
Hawana usmart wa utanashati wala usmart wa kichwani.
 
Watu waliofeli form four wanakuwaga smart?.

Acha wenye nywele ndefu mpaka wenye ndevu wapo kibao, kuanzia wanajeshi mpaka hao askari Police.
 
Pumbavu zako.Polisi wapo mpaka wana Rasta. Hivi unafikiri Watanzania wote ni mazuzu?
mkuu suala la kumuelimisha tu sio mbaka umtukane binafsi hata mimi sikuwahi kujua kama Kuna askali wanafuga mbaka rasta
 
Kwa nini Kila utekaji mnadai ni polisi ndo wanahusika?.
Je watu wengine mitaani hawawezi kufanya hiki jambo?.
Vyama vyote vya siasa haviwezi kufanya huu uhuni?.
Kama alishakosana nā watu ama kudhulumiana,pia hawawezi kumganyia hayo?.
Tujitafakari,vinginevyo tunawakatisha polisi moyo wa kufanya shuguli zao kwa weledi.
Na tukiacha ushahabiki wa kisiasa,ndani ya vyama hivi vya siasa kuna wahuni wengi,nā pia ni hatari sana kwa usalama wa raia japo Hilo hamwezi kulisemea
 
Polisi mpaka rasta wanazo
 
Watu wakawaida wanaruhusiwa kuwa na Pingu?. Halafu mbona hapo wawili ni askari wa gogon.
 
Watu wakawaida wanaruhusiwa kuwa na Pingu?. Halafu mbona hapo wawili ni askari gogoni.
 
Aibu tupu, porojo! Hakuna kitu hapo, waliompiga risasi Lisu, video zilifichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…