Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

Pumbavu zako.Polisi wapo mpaka wana Rasta. Hivi unafikiri Watanzania wote ni mazuzu?
Ukiona jitu linatetea huo upuuzi wa Serikali basi jua ni sehemu ya mfumo😉😳
Acha kutetea ujinga. Hv kazi ya Jeshi la Polisi ni nn? Tunajua ni kulinda usalama wa Raia na mali zao! Sasa iweje kila siku wanaotekwa upande wa upinzani tu lakn CCM hatusikii wakitekwa? Wakti raia anatekwa Polisi wanakuwa wapi? Halafu kama ni kudhulumiana, wanaodhulumiana na kutekana ni Watz wa vyama pinzani peke yao! Hii haihitaji rocket science kujua nani wanafanya huu upuuzi!!
Acha kutetea ujinga bro. Kazi ya Jeshi la Polisi ni kulinda Usalama wa Raia na Mali zao. Sasa inakuwaje wanaotekwa ni Raia toka upande wa Upinzani tu na hatuoni CCM wakitekwa?? Hata kama ni kudhulumiana ina maana wanao dhulumiana na kutekana ni Wapinzani peke yao??
 
Kama unakaa kijijini basi ni kweli hujawahi ona polisi mwenye nywele ndefu.
Kama umekaa mjini na hujawahi kuwaona basi Kuna shida mahali.
Lakini pia hizo buti hujaziona!
Au siku hizi inaruhusiwa pia raia kumiliki pingu?
 
Ng'ombe kasoro mkia wewe
 
polisi kama polisiii....aka maandazi
 
Kuna maaskari marasta, Kuna maaskari wasela, wapo kwenye muonekano usio tarajia kabisa.

Nenda hapo police msimbazi ndio utajua usikariri brother.

Kuna infomer wa police na Jwtz hutokuta wamevaa gwanda hata siku moja..

Kuna mshikaji wangu mmoja yupo kwenye vyombo vya ulinzi JW yeye havaagi sare Kuna siku anaendesha bodaboda akijaribu kumkwepa trafiki trafiki akamfuata upande wake akampush wakadondoka wote jamaa Ile kunyanyuka akaenda mpa mkono trafiki kumnyanyua traffic alipo amka akampiga pingu jamaa..jamaa ndio kumwambia yeye ni askari na kumpa kitambulisho Basi wakasameheana hivyo..
 
NEnda arusha pale central police utamkuta afande rasta, ambaye naye anatajwa tajwa kuwa ni miongoni mwa vijana wa kikosi kazi.
 
Kwa hiyo kama matukio mengine kusingekua na video ndio basi.. wale jamaa wanajulikama na polisi hata kana wao sio polisi, wale jamaa watekaji nashawishika kuwa wao ni sehemu ya mfumo.
 
Kila nikitazama mambo yanavyoendeshwa na jeshi la polisi nashindwa kujivunia jeshi langu naishia kusikitika tu.
 
Polisi nao .Wana pigia debe uchaguzi wa serikali za mitaa🤣🤣🤣.hivi vituko ni made from Tanzania only
 
Swali la kujiuliza ni je,bonge ana kosa gani mpk kufuatwa kubebwa mchana kweupe.
Inawezekana aliitwa polisi kakaidi ndo wakaletwa hao wahuni.
Zamani kulikua na defender wakikufata muondoke unadandia bodi unavunja kishoka,huna kosa wanakurudisha kwako salama salmini ukiwapa hela ya mboga.
 
kimbieni hilo li nchi ni la kingese sana bora kuishi utumwani kwenye amani kuliko kuishi tz
 
kimbieni hilo li nchi ni la kingese sana bora kuishi utumwani kwenye amani kuliko kuishi tz
Tuko million 60 tutakimbia wote ? Kisa saa 100 atawale kwa damu na lazima hataki kukosolewa? Uchaguzi umedodaaaa
 
Renda ofisi ya RCO Tabora kuna police huwezi kuwatofautisha na wanamziki wa bongo fleva. Hadi wanasokota nywele kama kaseja wanafunga kichwani na yale matambala while on duty yenye rangi nyeupe na nyeusi ambayo hutumika kama simbo ya wapalestina
 
Haya Matamko na uchunguzi wa polisi wetu tuliisha uzoea, hata ukiwapa miaka 100 hawatokuja na jibu lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…