Polisi Wavalishwe kamera za mwilini (bodycam) kufuatilia nyendo zao

Polisi Wavalishwe kamera za mwilini (bodycam) kufuatilia nyendo zao

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ili kufuatilia nyendo za Polisi na kuepusha rushwa. Polisi walazimishwe kuvaa body camera ili kufuatilia mazungumzo na mienendo Yao yote ichunguzwe na Mamlaka huru (Independent Police Oversight Authority).
download.jpeg
 
Mama Kizimkazi ameshatoa ruksa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Vishkwambi vya walimu vingi tu sahizi washauza sembuse polisi wapewa body cam?Kwanza connection za akina amba ruti zinatutosha hatutaki na za manjagu.
 
Rwanda ni sawa na wilaya na kagame ndie Sheria kafanya vile kwa maslai yake ya kulinda tumbo
Kwa hiyo sisi tumeamua kuwa hivi ili kulinda maslahi ya matumbo ya polisi?! Kama tunashindwa kumanage nchi kwa sababu ni kubwa si tuwagawie wengine tubaki na kanchi kadogo kama wilaya ili iwe manageable?;
By the way zipo nchi ngapi Duniani ambazo ni kubwa kubwa lakini zina mifumo Imara?
 
Back
Top Bottom