GE2025 Polisi Wavamia Makazi ya Mbunge Aida Khenani na wafuasi wa CHADEMA wapigwa sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Tindo

Platinum Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
72,020
Reaction score
129,293
WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA

TAARIFA KWA UMMA

SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA

Mapema Mchana wa leo Tarehe 27 Julai, 2025. Jeshi la Polisi Wilaya ya Nkasi, kwa kutumia Polisi waliotoka Vituo vya Laela na Sumbawanga, Wamevamia Makazi ya Mbunge Aida Joseph Khenani. Leo Mhe Mbunge alikuwa na kikao na wanachama pamoja na Viongozi kwa lengo la Kumpongeza baada ya utumishi wake kama Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini.

Aidha, kutokana na hasira za CCM kukataliwa na Mhe. Aida Khenani kujiunga na CCM, wamekuwa wakipanga kila njama kwa ajiri ya kutaka kumdhuru au kumwangamiza Mbunge huyo kisiasa.

Polisi wametumia Nakala ya uamuzi wa Jaji Mwanga kwenye kesi inayokikabili chama ambayo ilifunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Ana Maulida Komu mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama chetu. Na bila kufuata utaratibu wa kisheria wa kumzuia Mbunge, wamevamia makazi ya Mbunge na kukamata viongozi na Wanachama wapatao 17, ambao hadi sasa hawajulikani walipopelekwa.

Uongozi wa Mkoa tunalaani kitendo hiki cha polisi kujifanya kuwa ni chombo cha kutafsiri Maamuzi ya jaji na kutekeleza kinyume na Matakwa ya sheria ya mwenendo wa mashauri ya Madai.

Tunapinga jeshi la Polisi kiendelea kutumika kisiasa badala ya kuzingatia jukumu lake la Msingi la Kulinda Raia na Mali zake.

Sisi kama uongozi wa mkoa wa Rukwa tunaendelea kushauriana na viongozi wa juu pamoja na kurugenzi ya Sheria kwa hatua zaidi.

Kwa Upande wake Mbunge wa Nkasi Kaskazini ametutaarifu kwa Ujumbe Mfupi "Watu wamekamatwa wamepigwa sana😭😭😭
Kikao kimevurugika"
umeeleza Ujumbe wa Mbunge huyo.

Screenshot 2025-07-27 205249.png
Screenshot 2025-07-27 205302.png

Updates:
ANAANDIKA ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA.

TAARIFA KUTOKA RUKWA JIMBO LA NKASI KASKAZINI
"KWA NYONGEZA NI KWAMBA, Nimepewa taarifa zaidi sasa hivi kwamba, Baadhi ya waliokamatwa Wamepigwa saana na Kuzimia na wengine wawili inasemekana wamekufa na Polisi wanafanya mpango wa kwenda kuwatupa porini kusikojulikana 😭"

Wanachama wa CHADEMA waliokuwa wamekusanyika Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini wamepigwa vibaya sana inasemekana wengine wamezimia na wengine inasadikika wamekufa.

#NoReformsNoElections
 
WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA

TAARIFA KWA UMMA

SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA

ANAANDIKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA
ALFREDY SOTOKA

Mapema Mchana wa leo Tarehe 27 Julai, 2025. Jeshi la Polisi Wilaya ya Nkasi, kwa kutumia Polisi waliotoka Vituo vya Laela na Sumbawanga, Wamevamia Makazi ya Mbunge Aida Joseph Khenani. Leo Mhe Mbunge alikuwa na kikao na wanachama pamoja na Viongozi kwa lengo la Kumpongeza baada ya utumishi wake kama Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini.

Aidha, kutokana na hasira za CCM kukataliwa na Mhe. Aida Khenani kujiunga na CCM, wamekuwa wakipanga kila njama kwa ajiri ya kutaka kumdhuru au kumwangamiza Mbunge huyo kisiasa.

Polisi wametumia Nakala ya uamuzi wa Jaji Mwanga kwenye kesi inayokikabili chama ambayo ilifunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Ana Maulida Komu mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama chetu. Na bila kufuata utaratibu wa kisheria wa kumzuia Mbunge, wamevamia makazi ya Mbunge na kukamata viongozi na Wanachama wapatao 17, ambao hadi sasa hawajulikani walipopelekwa.

Uongozi wa Mkoa tunalaani kitendo hiki cha polisi kujifanya kuwa ni chombo cha kutafsiri Maamuzi ya jaji na kutekeleza kinyume na Matakwa ya sheria ya mwenendo wa mashauri ya Madai.

Tunapinga jeshi la Polisi kiendelea kutumika kisiasa badala ya kuzingatia jukumu lake la Msingi la Kulinda Raia na Mali zake.

Sisi kama uongozi wa mkoa wa Rukwa tunaendelea kushauriana na viongozi wa juu pamoja na kurugenzi ya Sheria kwa hatua zaidi.

Kwa Upande wake Mbunge wa Nkasi Kaskazini ametutaarifu kwa Ujumbe Mfupi "Watu wamekamatwa wamepigwa sana😭😭😭
Kikao kimevurugika" umeeleza Ujumbe wa Mbunge huyo.

🥺🥺🥺🥺🥺
 
View attachment 3420889View attachment 3420890
Mahakama imetoa amri ya kusitisha shughuli zote za chadomo. Polisi ni law enforcers. Kifo cha kujitakia hakina matanga.
 
Mbona sioni walipopigwa . Mnapenda sana kuzusha mambo ,kuongea uongo na uchonganishi tu ili kutafuta huruma. Kwa sasa Mmeshazoeleka kwa watanzania kuwa ninyi ni Wazushi na waongo waongo tunaopenda kuzua taharuki. Ndio maana Mnapuuzwa na wote wenye akili Timamu na wanaojitambua
 
Policcm ni 🚮
Nguvu nyingi, akili kisoda. Sasa kosa la Mbunge na wapiga kura wake hapo ni lipi? Watu wamekutana kwenye makazi ya mbunge halali wa jimbo!

Hawajamfanyia fujo mtu yeyote yule! Kwa nini wameenda kuwapiga? Hivi polisi wa hii nchi wana akili timamu kweli!!
 
WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA

TAARIFA KWA UMMA

SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA

Mapema Mchana wa leo Tarehe 27 Julai, 2025. Jeshi la Polisi Wilaya ya Nkasi, kwa kutumia Polisi waliotoka Vituo vya Laela na Sumbawanga, Wamevamia Makazi ya Mbunge Aida Joseph Khenani. Leo Mhe Mbunge alikuwa na kikao na wanachama pamoja na Viongozi kwa lengo la Kumpongeza baada ya utumishi wake kama Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini.

Aidha, kutokana na hasira za CCM kukataliwa na Mhe. Aida Khenani kujiunga na CCM, wamekuwa wakipanga kila njama kwa ajiri ya kutaka kumdhuru au kumwangamiza Mbunge huyo kisiasa.

Polisi wametumia Nakala ya uamuzi wa Jaji Mwanga kwenye kesi inayokikabili chama ambayo ilifunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Ana Maulida Komu mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama chetu. Na bila kufuata utaratibu wa kisheria wa kumzuia Mbunge, wamevamia makazi ya Mbunge na kukamata viongozi na Wanachama wapatao 17, ambao hadi sasa hawajulikani walipopelekwa.

Uongozi wa Mkoa tunalaani kitendo hiki cha polisi kujifanya kuwa ni chombo cha kutafsiri Maamuzi ya jaji na kutekeleza kinyume na Matakwa ya sheria ya mwenendo wa mashauri ya Madai.

Tunapinga jeshi la Polisi kiendelea kutumika kisiasa badala ya kuzingatia jukumu lake la Msingi la Kulinda Raia na Mali zake.

Sisi kama uongozi wa mkoa wa Rukwa tunaendelea kushauriana na viongozi wa juu pamoja na kurugenzi ya Sheria kwa hatua zaidi.

Kwa Upande wake Mbunge wa Nkasi Kaskazini ametutaarifu kwa Ujumbe Mfupi "Watu wamekamatwa wamepigwa sana😭😭😭
Kikao kimevurugika"
umeeleza Ujumbe wa Mbunge huyo.

View attachment 3420889View attachment 3420890
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
I hate you policcm.
Hata ukiwachukia huwaongezei kitu wala kupunguza kitu. Kikubwa ni tii sheria bila shuruti. Ukikaidi amri halali ya askari wetu ni lazima ushurutishwe na kuelekezwa namna ya kutii na kuzingatia sheria.
 
Na bado watapigwa sana sababu hawana akili ni mazuzu yanapigwa mtaani yanakuja kudai haki mtandaoni hii akili matope watawapiga na kuwalawiti sana sababu ya uoga wenu
Hata ningekuwa ni mimi ningeyapiga na kuyatwanga sana ma CHADEMA mpaka akili ziyakae sawa.
 
Sio kauli nzuri mkuu

Binafsi ni mwana ccm ila suala la kama kutoa pole na kukemea maana hao ni binadamu sio wanyama.
Chadema ni wajinga hauwezi Kila siku kukaa unalalamika unachezea kichapo kutoka Kwa mtawala ukafikiri atakuja kukuonea huruma Ili wewe umtawale halipo Hilo milele tena watauwawa sana Kwa viherehere bila kutumia akili
 
Chadema ni wajinga hauwezi Kila siku kukaa unalalamika unachezea kichapo kutoka Kwa mtawala ukafikiri atakuja kuonea huruma Ili wewe umtawale halipo Hilo milele tena watauwawa sana Kwa viherehere bila kutumia akili
Sawa vaa viatu vya chadema, ungefanya nini? Kumbuka wamepigwa pin kila sehemu na watawala wenye kumiliki mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na msajiri wa vyama.
 
Back
Top Bottom