GE2025 Polisi Wavamia Makazi ya Mbunge Aida Khenani na wafuasi wa CHADEMA wapigwa sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sio kauli nzuri mkuu

Binafsi ni mwana ccm ila suala la kama kutoa pole na kukemea maana hao ni binadamu sio wanyama.
Tatizo hawa humu mtandaon n kelele tuu na ramli
 
N
WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA

TAARIFA KWA UMMA

SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA

Mapema Mchana wa leo Tarehe 27 Julai, 2025. Jeshi la Polisi Wilaya ya Nkasi, kwa kutumia Polisi waliotoka Vituo vya Laela na Sumbawanga, Wamevamia Makazi ya Mbunge Aida Joseph Khenani. Leo Mhe Mbunge alikuwa na kikao na wanachama pamoja na Viongozi kwa lengo la Kumpongeza baada ya utumishi wake kama Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini.

Aidha, kutokana na hasira za CCM kukataliwa na Mhe. Aida Khenani kujiunga na CCM, wamekuwa wakipanga kila njama kwa ajiri ya kutaka kumdhuru au kumwangamiza Mbunge huyo kisiasa.

Polisi wametumia Nakala ya uamuzi wa Jaji Mwanga kwenye kesi inayokikabili chama ambayo ilifunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Ana Maulida Komu mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama chetu. Na bila kufuata utaratibu wa kisheria wa kumzuia Mbunge, wamevamia makazi ya Mbunge na kukamata viongozi na Wanachama wapatao 17, ambao hadi sasa hawajulikani walipopelekwa.

Uongozi wa Mkoa tunalaani kitendo hiki cha polisi kujifanya kuwa ni chombo cha kutafsiri Maamuzi ya jaji na kutekeleza kinyume na Matakwa ya sheria ya mwenendo wa mashauri ya Madai.

Tunapinga jeshi la Polisi kiendelea kutumika kisiasa badala ya kuzingatia jukumu lake la Msingi la Kulinda Raia na Mali zake.

Sisi kama uongozi wa mkoa wa Rukwa tunaendelea kushauriana na viongozi wa juu pamoja na kurugenzi ya Sheria kwa hatua zaidi.

Kwa Upande wake Mbunge wa Nkasi Kaskazini ametutaarifu kwa Ujumbe Mfupi "Watu wamekamatwa wamepigwa sana😭😭😭
Kikao kimevurugika"
umeeleza Ujumbe wa Mbunge huyo.

View attachment 3420889View attachment 3420890

Updates:
ANAANDIKA ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA.

TAARIFA KUTOKA RUKWA JIMBO LA NKASI KASKAZINI
"KWA NYONGEZA NI KWAMBA, Nimepewa taarifa zaidi sasa hivi kwamba, Baadhi ya waliokamatwa Wamepigwa saana na Kuzimia na wengine wawili inasemekana wamekufa na Polisi wanafanya mpango wa kwenda kuwatupa porini kusikojulikana 😭"

Wanachama wa CHADEMA waliokuwa wamekusanyika Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini wamepigwa vibaya sana inasemekana wengine wamezimia na wengine inasadikika wamekufa.

#NoReformsNoElections
Na bado mtatii sheria kwa shuruti, mkirudia mtavunjwavunjwa hivyo viuno vinavyowawasha.
 
Jeshi la Polisi la Tz kulitofautisha na Hamas, Hezbollah, Boko Haramu na Al Shabab ni ngumu sana.
 
We mwehu huna ht aibu? Tume imetangaza tarehe za michakato ya uchaguzi OKTOBA TUNATIKI, Samia ni wetu tunatamba naye. Nyumbu nyie zero brain
 
Huyo ni Mbunge au aliyekuwa Mbunge?
 
Kwa Upande wake Mbunge wa Nkasi Kaskazini ametutaarifu kwa Ujumbe Mfupi "Watu wamekamatwa wamepigwa sana😭😭😭
Kikao kimevurugika" umeeleza Ujumbe wa Mbunge huyo.
🥺🥺🥺🥺🥺
Wangapi wamevunjwa miguu na viuno? Jeshi la polisi lipewe maua yake. Mnatest mitambo siyo?
 
Safi sana jeshi linahitaji pongezi
 
We subiri polisi waje wakuue si unawogopa unakalia kusema karma karma subiri waje kulawitiwa na kukutandika risasi
NENO na nguvu kuu inayotawala huu ulimwengu haya uliyoandika hapa yataanza na wewe kabla ya 2025 kuisha.✍️📌
 
Back
Top Bottom