GE2025 Polisi Wavamia Makazi ya Mbunge Aida Khenani na wafuasi wa CHADEMA wapigwa sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni haya haya matendo ndiyo yaliyopelekea mpaka kifo cha yule Mtanganyika kikageuka kuwa BURUDANI kwa Watanganyika walio wengi.
 
NENO na nguvu kuu inayotawala huu ulimwengu haya uliyoandika hapa yataanza na wewe kabla ya 2025 kuisha.✍️📌
We ngedere kweli niliyoyaandika yanamadhara Gani kudhidi mauwaji yanayofanywa na polisi Kila siku na hamna karma yeyote uliyowapa pumbavu wewe ndio wajinga mnaowaendekeza polisi mpaka wanawalawiti tumia akili dunia haitaki watu Wanyonge na wajinga kama wewe eti karma hiyo ingeanza Kwa Samia miaka minne yote anatamba tu
 
Kwa Upande wake Mbunge wa Nkasi Kaskazini ametutaarifu kwa Ujumbe Mfupi "Watu wamekamatwa wamepigwa sana😭😭😭
Kikao kimevurugika" umeeleza Ujumbe wa Mbunge huyo.
🥺🥺🥺🥺🥺
Iliagizwa wauawe sijui imekuwaje hawajawaua
 
Mkumbuk
Mahakama imetoa amri ya kusitisha shughuli zote za chadomo. Polisi ni law enforcers. Kifo cha kujitakia hakina matanga.
e kuwa hiyo ni mbegu mnaipanda ipo siku itamea na kuzaa muwe tayari kuvuna. Mnaipanda chuki mtavuna kisasi. Muwe tayari kuvuna kila mlichopanda maana hiyo ni kanuni ya MUNGU.
 
Mwendawazimu, shetani mkubwa wewe. Laana iwe juu yako na uzao wako, wewe hayawani mfuasi wa ibilisi uliyekosa upendo kwa binadamu wenzako.
 
WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA

TAARIFA KWA UMMA

SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA

Mapema Mchana wa leo Tarehe 27 Julai, 2025. Jeshi la Polisi Wilaya ya Nkasi, kwa kutumia Polisi waliotoka Vituo vya Laela na Sumbawanga, Wamevamia Makazi ya Mbunge Aida Joseph Khenani. Leo Mhe Mbunge alikuwa na kikao na wanachama pamoja na Viongozi kwa lengo la Kumpongeza baada ya utumishi wake kama Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini.

Aidha, kutokana na hasira za CCM kukataliwa na Mhe. Aida Khenani kujiunga na CCM, wamekuwa wakipanga kila njama kwa ajiri ya kutaka kumdhuru au kumwangamiza Mbunge huyo kisiasa.

Polisi wametumia Nakala ya uamuzi wa Jaji Mwanga kwenye kesi inayokikabili chama ambayo ilifunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Ana Maulida Komu mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama chetu. Na bila kufuata utaratibu wa kisheria wa kumzuia Mbunge, wamevamia makazi ya Mbunge na kukamata viongozi na Wanachama wapatao 17, ambao hadi sasa hawajulikani walipopelekwa.

Uongozi wa Mkoa tunalaani kitendo hiki cha polisi kujifanya kuwa ni chombo cha kutafsiri Maamuzi ya jaji na kutekeleza kinyume na Matakwa ya sheria ya mwenendo wa mashauri ya Madai.

Tunapinga jeshi la Polisi kiendelea kutumika kisiasa badala ya kuzingatia jukumu lake la Msingi la Kulinda Raia na Mali zake.

Sisi kama uongozi wa mkoa wa Rukwa tunaendelea kushauriana na viongozi wa juu pamoja na kurugenzi ya Sheria kwa hatua zaidi.

Kwa Upande wake Mbunge wa Nkasi Kaskazini ametutaarifu kwa Ujumbe Mfupi "Watu wamekamatwa wamepigwa sana😭😭😭
Kikao kimevurugika"
umeeleza Ujumbe wa Mbunge huyo.

View attachment 3420889View attachment 3420890

Updates:
ANAANDIKA ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA.

TAARIFA KUTOKA RUKWA JIMBO LA NKASI KASKAZINI
"KWA NYONGEZA NI KWAMBA, Nimepewa taarifa zaidi sasa hivi kwamba, Baadhi ya waliokamatwa Wamepigwa saana na Kuzimia na wengine wawili inasemekana wamekufa na Polisi wanafanya mpango wa kwenda kuwatupa porini kusikojulikana 😭"

Wanachama wa CHADEMA waliokuwa wamekusanyika Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini wamepigwa vibaya sana inasemekana wengine wamezimia na wengine inasadikika wamekufa.

#NoReformsNoElections
Je na AIDA kapigwa? Si mtu wa kuamini kama hajapigwa
 
Chadema nao wanapenda Fujo kwani wakiacha siasa kwa sasa watapungukiwa na nini? Wafuasi wa Chadema mtapigwa sana kama mnawafata hao viongozi wanaojifanya wa chadema huku wanawalengesha nyie
 
Mbona sioni walipopigwa . Mnapenda sana kuzusha mambo ,kuongea uongo na uchonganishi tu ili kutafuta huruma. Kwa sasa Mmeshazoeleka kwa watanzania kuwa ninyi ni Wazushi na waongo waongo tunaopenda kuzua taharuki. Ndio maana Mnapuuzwa na wote wenye akili Timamu na wanaojitambua
Unamsikitisha sana baba yako kwa ujinga ulionao.
UNamdhalikisha sana mkeo na watoto kwa uchawa huu usiotumia ubongo.
 
Sio kauli nzuri mkuu

Binafsi ni mwana ccm ila suala la kama kutoa pole na kukemea maana hao ni binadamu sio wanyama.
Chuki hizi baina ya waTanzania zitatufikisha wapi?
Tunao waita viongozi wetu ndio wanaozichochea badala ya jitihada za kutuunganisha.
Mitano mingine ya namna hii, naona wasiokuwa ndani ya CCM ni kama watakuwa wanaishi nchi ya kigeni kabisa!

Tutafika salama kweli kwa mwendo huu?

Kama ni kweli, huu mtindo wa polisi kupiga watu kusudio lake ni nini hasa?
 
Chadema nao wanapenda Fujo kwani wakiacha siasa kwa sasa watapungukiwa na nini? Wafuasi wa Chadema mtapigwa sana kama mnawafata hao viongozi wanaojifanya wa chadema huku wanawalengesha nyie
Ulikutana lini na mheshimiwa Abdul, mkuu 'Bush' na kuuza roho yote na ubinaadam wote kiasi hiki?
 
Mwendawazimu, shetani mkubwa wewe. Laana iwe juu yako na uzao wako, wewe hayawani mfuasi wa ibilisi uliyekosa upendo kwa binadamu wenzako.
Binadamu asiyetii amri halali ya mahakama? Huyo ni hatari kwa jamii yote na ni laana kwa Taifa.
 
Mkumbuk

e kuwa hiyo ni mbegu mnaipanda ipo siku itamea na kuzaa muwe tayari kuvuna. Mnaipanda chuki mtavuna kisasi. Muwe tayari kuvuna kila mlichopanda maana hiyo ni kanuni ya MUNGU.
Watu ambao hawatii amri halali ya mahakama wachekewe au waachwe? Tutakuwa na Taifa hapo?
 
Policcm ni 🚮
Nguvu nyingi, akili kisoda. Sasa kosa la Mbunge na wapiga kura wake hapo ni lipi? Watu wamekutana kwenye makazi ya mbunge halali wa jimbo!

Hawajamfanyia fujo mtu yeyote yule! Kwa nini wameenda kuwapiga? Hivi polisi wa hii nchi wana akili timamu kweli!!
Wengi walizungusha form 4 utegemee kitu gani?
 
Back
Top Bottom