Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Acha mpigwe tu maana hamna akili. Tena mpigwe sana tu mpaka mchakae😀😀😀We tako kweli upo huko umambinulia makala kalio utaonea wapi kama watu wanapigwa na hao chawa wenu
Acha mpigwe tu maana hamna akili. Tena mpigwe sana tu mpaka mchakae😀😀😀We tako kweli upo huko umambinulia makala kalio utaonea wapi kama watu wanapigwa na hao chawa wenu
Ningeachana na siasa za kijinga kama najijua Mimi ni muoga sababu watawala hawana huruma na yeyote anayetaka kuwapokonya tonge we mijitu wenzao wanauwawa yenyewe kazi kulalamika mitandaoni hivi tangia walammoke mtandaoni Kuna msaada Gani mtu anaekufa kinyonge ni mjinga Wala sio mpigania haki mpigania haki hawezi kubali umuue kinyonge kama chadema wanavyouwawa kama kukuSawa vaa viatu vya chadema, ungefanya nini? Kumbuka wamepigwa pin kila sehemu na watawala wenye kumiliki mahakama, vyombo vya ulinzi na usalama na msajiri wa vyama.
Uelewi unachoongeaNingeachana na siasa za kijinga kama najijua Mimi ni muoga sababu watawala hawana huruma na yeyote anayetaka kuwapokonya tonge
We ndio uelewi unachoongea siasa na mtu muoga ni vitu viwili tofauti hao polisi wangekua wanakuta wenzao wameuwawa kwenye mitaro wasingekua wanafanya huo ujingaUelewi unachoongea
Tuliza shobo wewe hamtatawala milele mpo hatua za mwisho kabisa kupishaMbona sioni walipopigwa . Mnapenda sana kuzusha mambo ,kuongea uongo na uchonganishi tu ili kutafuta huruma. Kwa sasa Mmeshazoeleka kwa watanzania kuwa ninyi ni Wazushi na waongo waongo tunaopenda kuzua taharuki. Ndio maana Mnapuuzwa na wote wenye akili Timamu na wanaojitambua
Zamu yako au ndugu yako itafika. Karma is real.✍️Na bado watapigwa sana sababu hawana akili ni mazuzu yanapigwa mtaani yanakuja kudai haki mtandaoni hii akili matope watawapiga na kuwalawiti sana sababu ya uoga wenu
Karma is real upo kwenye keyboardZamu yako au ndugu yako itafika. Karma is real.✍️
Akili wanazo. Ila hapo kwenye timamu ndipo sina uhakika na jibu languPoliccm ni 🚮
Nguvu nyingi, akili kisoda. Sasa kosa la Mbunge na wapiga kura wake hapo ni lipi? Watu wamekutana kwenye makazi ya mbunge halali wa jimbo!
Hawajamfanyia fujo mtu yeyote yule! Kwa nini wameenda kuwapiga? Hivi polisi wa hii nchi wana akili timamu kweli!!
Ukiona hivi basi ujue hali ndani ya ccm ni teteAcha mpigwe tu maana hamna akili. Tena mpigwe sana tu mpaka mchakae😀😀😀
Wewe nani upige wengine kwa sababu hawakubaliani na wewe? …msisahau to every action there is an equal and opposite reaction, that’s how nature works, kuweni makini mtaigeuza nchi kuwa uwanja wa vitaHata ningekuwa ni mimi ningeyapiga na kuyatwanga sana ma CHADEMA mpaka akili ziyakae sawa.
Kwahiyo ww hupend aman unataka kupigaHata ningekuwa ni mimi ningeyapiga na kuyatwanga sana ma CHADEMA mpaka akili ziyakae sawa.
The FALL of CCM 1995-2025.✍️ Baada ya hapo kila mtu ataanza kujitetea pekee yake sijuhi utakuwa ukisema ulikuwa ukipewa maelekezo kutoka juu! Ni suala la muda tu.✍️📌Karma is real upo kwenye keyboard
Anachopitia mwenyekiti wao, uwezi na mm siwezi kuvumilia, ulishawahi kuwekwa hata police post japo kwa siku moja?We ndio uelewi unachoongea siasa na mtu muoga ni vitu viwili tofauti hao polisi wangekua wanakuta wenzao wameuwawa kwenye mitaro wasingekua wanafanya huo ujinga
Yule ni mjinga amechagua upande wa watu waoga anchopitia kinatokana na ujinga wake wa kutofikiri watu anaowapambania ni watu wa aina ganiAnachopitia mwenyekiti wao, uwezi na mm siwezi kuvumilia, ulishawahi kuwekwa hata police post japo kwa siku moja?
mikusanyiko ya magenge ya kihalifu hususani yaliyopigwa marufuku kukusanyika popote nchini ni vema ikadhibitiwa na kusambaratishwa bila huruma ikiwa kuna resistance.WATU WANEKAMATWA NA KUPIGWA VIBAYA SANA
TAARIFA KWA UMMA
SERIKALI YA CCM YATUMIA POLISI KUVAMIA MAKAZI YA MHE. MBUNGE AIDA JOSEPH KENANI NA KUWAPIGA NA KUWAUMIZA VIBAYA VIONGOZI NA WANACHAMA
Mapema Mchana wa leo Tarehe 27 Julai, 2025. Jeshi la Polisi Wilaya ya Nkasi, kwa kutumia Polisi waliotoka Vituo vya Laela na Sumbawanga, Wamevamia Makazi ya Mbunge Aida Joseph Khenani. Leo Mhe Mbunge alikuwa na kikao na wanachama pamoja na Viongozi kwa lengo la Kumpongeza baada ya utumishi wake kama Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini.
Aidha, kutokana na hasira za CCM kukataliwa na Mhe. Aida Khenani kujiunga na CCM, wamekuwa wakipanga kila njama kwa ajiri ya kutaka kumdhuru au kumwangamiza Mbunge huyo kisiasa.
Polisi wametumia Nakala ya uamuzi wa Jaji Mwanga kwenye kesi inayokikabili chama ambayo ilifunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Ana Maulida Komu mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama chetu. Na bila kufuata utaratibu wa kisheria wa kumzuia Mbunge, wamevamia makazi ya Mbunge na kukamata viongozi na Wanachama wapatao 17, ambao hadi sasa hawajulikani walipopelekwa.
Uongozi wa Mkoa tunalaani kitendo hiki cha polisi kujifanya kuwa ni chombo cha kutafsiri Maamuzi ya jaji na kutekeleza kinyume na Matakwa ya sheria ya mwenendo wa mashauri ya Madai.
Tunapinga jeshi la Polisi kiendelea kutumika kisiasa badala ya kuzingatia jukumu lake la Msingi la Kulinda Raia na Mali zake.
Sisi kama uongozi wa mkoa wa Rukwa tunaendelea kushauriana na viongozi wa juu pamoja na kurugenzi ya Sheria kwa hatua zaidi.
Kwa Upande wake Mbunge wa Nkasi Kaskazini ametutaarifu kwa Ujumbe Mfupi "Watu wamekamatwa wamepigwa sana😭😭😭
Kikao kimevurugika" umeeleza Ujumbe wa Mbunge huyo.
View attachment 3420889View attachment 3420890
We subiri polisi waje wakuue si unawogopa unakalia kusema karma karma subiri waje kulawitiwa na kukutandika risasiThe FALL of CCM 1995-2025.✍️ Baada ya hapo kila mtu ataanza kujitetea pekee yake sijuhi utakuwa ukisema ulikuwa ukipewa maelekezo kutoka juu! Ni suala la muda tu.✍️📌