CCM wakifanya wanaruhusiwa lakini CHADEMA tukifanya tunazuiwa na polisi huu uvumilivu utafika mwisho wake View attachment 357967
Daaaaaa!!! Mbona hakuna mhaya mwenye akili mbovu kiasi hiki?Ni mhaya aliyekufa roho
IringaMkuu issue simple ni kuomba kibali basi.. Issue yoyote yenye mrengo wa kisiasa omba kibali ! Ukishanyimwa ndio uanze kalalamika...
Mbona ccm mwanza walipo andamana kisa diwani wao kawekewa sumu ofisini waliandamana na hawakuguswa?au wapinzani siyo watanzania?Mkuu issue simple ni kuomba kibali basi.. Issue yoyote yenye mrengo wa kisiasa omba kibali ! Ukishanyimwa ndio uanze kalalamika...
Mbona magu anapeleka siasa mpaka kanisani hatusemi?Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
Kipi kinachokufurahisha ulitaka kumwagika kwa damu
Vipi sasa hawajakamatwa?Mahafali nayo yanahitaji kibali?Nilitaka wakamatwe na mbata juu!
Kiswahili nacho kinaondokaKweli General Ulimwengu hakukosea, Zama hz democracy tumeludi nyuma miaka 50.
Nitafurai=Nitafurahinitafurai sana kama polisi watafurusha na mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi mwezi ujao, hapo nitajua hawana upendeleo.
Unakiri kabisa haujui halafu unasema wakamatwe, kwa kosa lipi haujui?Daah sasa sijui nakuitaje broSijui!
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika
UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO waliokuwa wakiendelea na maandalizi ya mahafali ya CHASO mkoa wa Kilimanjaro
Unakiri kabisa haujui halafu unasema wakamatwe, kwa kosa lipi haujui?Daah sasa sijui nakuitaje bro
hivi unafahamu hata ccm wanazo biashara za namna hii huko vyuoni??,Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
mkuu hivi kufanya siasa imekuwa illegal?Hivi siku hizi mahafali yanaendeshwa kwa misingi ya kisiasa,huu ni uhuni hayo sio mahafali bali ni mikutano ya kisiasa,polisi wafenya vizuri kulinda amani.
Si kosa lako utakuwa na jinsia mbili ke/meHongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.