Tetesi: Polisi wazingira Keys Hotel Kwenye Mahafali ya CHASO Kilimanjaro

Kwani hawa wanafunzi wamefanya nini cha ajabu hadi juwindwa kama ndege polini?
 
Hatuwezi kuwa na nchi watu wanajfanyia mambo wanavyotaka,safi sana polisi haiwezekani watu wajenge nchi wao wafnye sherehe za kuchezea hela wakati huu n muda wa kubana matumizi wanashndwa kuiga vijana wa buku saba.
kwani leo mkulu yupo kanisa gani?
 
Wew
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
Wewe mjinga hujitambui nyie CCM hapa mlikuwa mnafanya nini?
 
Nyie hapa mlikuwa mnafanya nini mbona unashindwa hata kutumia akili?
Hatuwezi kuwa na nchi watu wanajfanyia mambo wanavyotaka,safi sana polisi haiwezekani watu wajenge nchi wao wafnye sherehe za kuchezea hela wakati huu n muda wa kubana matumizi wanashndwa kuiga vijana wa buku saba.
kwani leo mkulu yupo kanisa gani?
 
chaso wajiongeze, mahafali yafanyikie kwenye kumbi za harusi au kwenye nyumba ya mtu yenye uzio wa kutosha, wanapamba magari kama wanaenda harusini wanapita mbele ya kituo cha polisi na matarumbeta, baada ya sherehe wanatuma picha mitandaoni walivyofanikisha mahafali bila kinachosingiziwa kuitwa vurugu au uvunjifu wa amani..

lengo litimie, mahafali yafanyike, umoja uonekane, wahafidhina waaibike, lakini kuendelea na staili ile ile ya kuwaacha polisi wavuruge mahafali na kuendelea kuwapigia kelele polisi na watawala walioziba masikio hakuna tofauti na kuendelea kutoka bungeni bila mafanikio au kutimiza lengo lililowafanya watoke bungeni...

change the style, change the tactics, change the game, unless you still want to be the loosing one
 
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
Wewe hata ukiolewa ushukuru sana Mungu wako kwa akili kama hizi
 
Nafikiri tunahitaji revolution ndo nchi hii itabadilika.
 
Hongera sana polisi, mahafali gani ya kisiasa, tumechoka kila jambo kulifanya la kisiasa, siasa zenyewe za wachumia tumbo! Mbowe umeuza CHADEMA yetu kwa mafisadi sasa unataka kuwauza na wahitimu wetu. Polisi onyesha uwezo wenu hapo.
 
Hivi sababu ya msingi inayotolewa na jeshi la polisi kuzuia mikusanyiko/ mikutano ya ndani kama hiyo ni ipi?
 
Hao wanafunzi ndio waliokuwa wanamtukana lowasa fisadi , na kuamua kubadili gia mwez 7 mwaka jana au Ni intake mpya , wasiomjua lowasa ?

Majibu tafadhali Mkuu ukiwa hapo kishimundu
Haya nenda kachukue buku 2 lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…