Polisi wazuia ndoa ya utotoni, muoaji na muolewaji wote wakiwa chini ya miaka 18

Ngoja nije tuyajenge kwanza,
 
15 si vichuchu tu jamani, aise bado mdogo, atleast 18 hapo sawa.
 
Waulize bibi zetu waliolewa na umri gani? Watu walipitia jando na unyago, wakapewa maadili na namna ya kumtunza mme au mke.

Tofauti kabisa na vijana wa sasa wanajifunza kwenye mitandao namna ya kuzuia na kutoa mimba. Ni afadhali hata kuoa au kuolewa.
Au uliza historia ya bi mkubwa (mama wa taifa) huko z'bar wanaolewa na umri gani? Au pwani kwa ujumla.

Binti akishatoka mkoleni, baada ya kuvunja ungo na kuwekwa ndani, tayari wanaamini anamudu ndoa.
Waacheni mabinti waolewe, wazae!
 
Una akili Sana wee mwanamke[emoji106]
 
Wanawake poleni
Mana mnafosiwa Sana kufanya Mambo msiyotaka
 
binti ako wa kumzaa akitolewa mahari na miaka14 utapokea wewe?kwa kutambua uwepo wa Raia kama nyie ndio maana unaona hapo Serikali imeingilia kati kama ni sahihi si wangepata utetezi?
 
Ndoa sio ngumu Kama unavyoaminishwa,
Ziko wapi ndoa za skuhz za watu wazima , kila siku kutwa kucha wanaachana
Angalia ndoa za zaman zinavodumu na wengi walioana umri mdg
 
Mkuu ngoja nisogee nikuongeze Mke wa 2 mila zetu za kiafrika zinaruhusu kabisa.
 
Watoto wakike wengi hugeuzwa kitega uchumi acha sheria iendelee
 
Sheria inaruhusu binti wa kuanzia miaka 14 kuolewa kwa ruhusa ya mzazi-sasa hao Maafisa Ustawi gani wa Jamii hawajui hiyo sheria.Kazi yao walitakiwa kwenda kuuliza mzazi wa binti kama wametoa ruhusu.
 
Sijawah kuomba picha lakin uzi huu ulipaswa kuwa na picha aisee
 
Shukuru hata una kazi mi niliolewa sehemu sina hata kazi mwanaume allikuwa mnyanyasaji yule, akileta mboga Siku hiyo utatukwana kama kwenu ulikuwa huli
 
Aisee pole sana.

Kuna raha ya mwanamke kua na mtoto kuliko mwanaume.
Mwanaume hata asipokua na mtoto sio big deal na huwa hawaumii sana kuliko wanawake.

Fanya fanya upate hata chalii wa kukufariji bna bado upo kwenye zone ya kupata mtu sahihi ni vile tu wanawake wakiwa na pesa/elimu wanakua too selective, na wengine hawahitaji wanaume mpaka nature iwafanye kazi.
 
Ndoa sio ngumu Kama unavyoaminishwa,
Ziko wapi ndoa za skuhz za watu wazima , kila siku kutwa kucha wanaachana
Angalia ndoa za zaman zinavodumu na wengi walioana umri mdg
Maisha yamebadilika, dunia imebadilika, kila kitu kimabadilika huwezi kufananisha na zamani

Ndio maana pia hii habari imetrend, ingekua zamani mzu anajizolea jiko wala husikii kwa jirani maana ilikua kawaida
 
Polisi wamefanya Kosa la kisheria kama tu huyo mtoto sio mwanafunzi na wazazi wameridhia basi hiyo ndoa ni halali kabisa mbele ya jicho la sheria
 

Kweli wanafata wazungu wakati wazungu mtoto miaka 12 hana bikra haha afu hao wazungu ndio wanaongoza kwa kukataza ndoa za umri mdogo but wanaona sawa mtoto wa miaka 15 kubeba ujauzito ,,,huko US mababy mama wanaongoza ni vitoto vya 15,16,17 huko hatar sana! Kwahili lakuoa/kuolewa mapema nawakubali wazee wazamani na waarabu waliona mbali,,,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…