Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wapeleke hio bongo lala shule,Uzungu umeleta shida kubwa sana.
Mtoto wa miaka 15 ambaye shule ameshamaliza kuolewa na mtoto mwenzake wa miaka 17 nini cha ajabu. Wote wamesha balehe na wanaishi maisha ya kimila.
Hao walioenda kuwakamata wajiulize bibi zao waliolewa wakiwa na miaka mingapi na babu zao walioa wakiwa na miaka mingapi?
Ndoa ya kimila mnakataza kisa wadogo huku mnaruhusu uzinzi kwa jina la kizungu watiane kwa njia ya u boyfriend na u girlfriend. Sababu wote wamebalehe wana mahitaji ya kimwili. Watayapataje bila ndoa,
Kutunza mke sio ngumu maana mwanaume anapewa mashamba na mifugo na wazazi wake ndipo anaozeshwa.. kama hapo mahari ngombe 10 na hizo hela wazazi wake wamemlipia
Muoe tu umri siyo tatizoPole. Aisee ningekuwa na umri wa miaka zaidi yako ningekuoa sema niko kwenye mid 20s. Dah ningekusitiri mkuu
Samahani kwa hilo.
Mama zetu wengi walituzaa wakiwa na miaka hiyo yaani 15-17Uzungu umeleta shida kubwa sana.
Mtoto wa miaka 15 ambaye shule ameshamaliza kuolewa na mtoto mwenzake wa miaka 17 nini cha ajabu. Wote wamesha balehe na wanaishi maisha ya kimila.
Hao walioenda kuwakamata wajiulize bibi zao waliolewa wakiwa na miaka mingapi na babu zao walioa wakiwa na miaka mingapi?
Ndoa ya kimila mnakataza kisa wadogo huku mnaruhusu uzinzi kwa jina la kizungu watiane kwa njia ya u boyfriend na u girlfriend. Sababu wote wamebalehe wana mahitaji ya kimwili. Watayapataje bila ndoa,
Kutunza mke sio ngumu maana mwanaume anapewa mashamba na mifugo na wazazi wake ndipo anaozeshwa.. kama hapo mahari ngombe 10 na hizo hela wazazi wake wamemlipia
Umenena vizuri sana,Kama hakuwa tayari kuolewa hapo sawa lakini kama ni sheria tu imembana, ipo siku atajutia.
Elimu ipo tu.
Binafsi kwa Sasa nina miaka zaidi ya 35 na sina mme wala mtoto. Nilikataa kuolewa kwa kigezo cha kusoma na kupata kazi kwanza.
Kweli nina kazi ila sina mme. Maisha nayaona hayana faida.
Maana kusoma hakuna umri wala mipaka, ila kuolewa kuna umri ukifika, yaani maombi ya kufunga kama yote kama sio kupishana kwa akina kalumanzila!😔
Nikiona binti anakatazwa kuolewa kwa kigezo cha umri, napata hasira sana. Labda kama hajapenda yeye binafsi.
Duniani tulikuja kuzaa na kuongezeka. Hizi elimu ni mfumo tu na ustaarabu wa kikoloni!
Mambo ninayoyapinga kwa nguvu zangu zote, ni ubakaji na ulawiti. Kumuingilia binti kwa lazima bila ridhaa yake au kinyume na maumbile. Lakini kuolewa, aolewe tu,azae!
TrueBaada ya miaka miwili utakuta wahuni washamtia mimba analea mtoto peke yake, hao wazazi watazikumbuka hizo ng'ombe 10
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na Mimi Nina 40 yrs sijapata mke, kumbe tunafanana!!Kama hakuwa tayari kuolewa hapo sawa lakini kama ni sheria tu imembana, ipo siku atajutia.
Elimu ipo tu.
Binafsi kwa Sasa nina miaka zaidi ya 35 na sina mme wala mtoto. Nilikataa kuolewa kwa kigezo cha kusoma na kupata kazi kwanza.
Kweli nina kazi ila sina mme. Maisha nayaona hayana faida.
Maana kusoma hakuna umri wala mipaka, ila kuolewa kuna umri ukifika, yaani maombi ya kufunga kama yote kama sio kupishana kwa akina kalumanzila!😔
Nikiona binti anakatazwa kuolewa kwa kigezo cha umri, napata hasira sana. Labda kama hajapenda yeye binafsi.
Duniani tulikuja kuzaa na kuongezeka. Hizi elimu ni mfumo tu na ustaarabu wa kikoloni!
Mambo ninayoyapinga kwa nguvu zangu zote, ni ubakaji na ulawiti. Kumuingilia binti kwa lazima bila ridhaa yake au kinyume na maumbile. Lakini kuolewa, aolewe tu,azae!
Pole sanaKama hakuwa tayari kuolewa hapo sawa lakini kama ni sheria tu imembana, ipo siku atajutia.
Elimu ipo tu.
Binafsi kwa Sasa nina miaka zaidi ya 35 na sina mme wala mtoto. Nilikataa kuolewa kwa kigezo cha kusoma na kupata kazi kwanza.
Kweli nina kazi ila sina mme. Maisha nayaona hayana faida.
Maana kusoma hakuna umri wala mipaka, ila kuolewa kuna umri ukifika, yaani maombi ya kufunga kama yote kama sio kupishana kwa akina kalumanzila![emoji17]
Nikiona binti anakatazwa kuolewa kwa kigezo cha umri, napata hasira sana. Labda kama hajapenda yeye binafsi.
Duniani tulikuja kuzaa na kuongezeka. Hizi elimu ni mfumo tu na ustaarabu wa kikoloni!
Mambo ninayoyapinga kwa nguvu zangu zote, ni ubakaji na ulawiti. Kumuingilia binti kwa lazima bila ridhaa yake au kinyume na maumbile. Lakini kuolewa, aolewe tu,azae!
Eti tutamsaidia asome ili atimize ndoto zake, kwani kawaambia kama ana ndoto zozote kwenye elimu,, darasa la saba tu limemshinda mwacheni aolewe
Ustawi wa jamii wameona wivu maana pale kuna mimama huwa haiolewi na wakiolewa wiki wanaludi kwao.
Lakini bado ni mtoto, she is only 16 kama sikosei, unadhani mtoto wa miaka 16 anaweza kumudu majukumu ya ndoa?
Dont blame yourself dear, kila kitu kinakuja kwa wakati wake, you should be greatful umepata elimu na una kazi nzuri, kuna watu wameolewa wapo majumbani hata mia ya kununua sabuni ya kuogea hawana na mume hana hata habari, sasa hapo unadhani anaona raha ya hiyo ndoa?
Atlist you can manage your life, Mungu atakupatia mume kwa muda wake
15 si vichuchu tu jamani, aise bado mdogo, atleast 18 hapo sawa.
Unadhani wanafunga ndoa wakapanga Manzese? Kwanza jifunze family structure ya wasukuma ndipo useme hayo. Huu ni unyanyasaji na kuingilia mipangilio ya familia. Lakini pia ni nani aliyeamua kwamba miaka 17 kwa mvulana ni mtoto bado na 16 kwa msichana ni mtoto? Jiulize mabinti wanabebeshwa mimba wakiwa na umri gani? Haya ndio matokeo ya kuleta sheria eti watoto wa kike wasome shule huku wakinyonyesha. Kwa mwanamke hakuna ndoto inazidi kuolewaLakini bado ni mtoto, she is only 16 kama sikosei, unadhani mtoto wa miaka 16 anaweza kumudu majukumu ya ndoa?
Dont blame yourself dear, kila kitu kinakuja kwa wakati wake, you should be greatful umepata elimu na una kazi nzuri, kuna watu wameolewa wapo majumbani hata mia ya kununua sabuni ya kuogea hawana na mume hana hata habari, sasa hapo unadhani anaona raha ya hiyo ndoa?
Atlist you can manage your life, Mungu atakupatia mume kwa muda wake
Ile sheria inayoruhusu ndoa kwa watoto wa miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi wao si bado ipo?
Mwanafunzi asipoenda shule miezi sita bila ruhusa anakuwa amejifukuzisha shule.
Hao maafisa maendeleo walikuwa wapi kumsaidia huyo mtoto aende shule toka January?
Rika hilo wapo wengi tu mitaani wanabebeshwa mimba hakuna mwenye muda nao kisa siyo wanafunzi ila akitaka kuolewa kwa mahari tu, wanajitokeza wasamaria.
Hao wasamaria hawana lolote ni wivu tu![emoji16].
Mmekutana sasa mchukue muweke ndani mgegedane na mfarijiane.Na Mimi Nina 40 yrs sijapata mke, kumbe tunafanana!!
Kuna mabinti wana maumbile ya tofauti sana unaweza kukutana nae ana miaka 15 ukakuta limama kweli kweli