Polisi wazuia ndoa ya utotoni, muoaji na muolewaji wote wakiwa chini ya miaka 18

Life span ya kuishi inapungua, sheria zinaongeza muda wa kuoana. Kumbuka kabla hujafa unatakiwa uwaone wajukuu na vitukuu kama ikiwezekana, ukija kutengeneza familia umezeeka huwezi kuyaona hayo
 
Bibi yangu ananiambia hakumbuki alishika mimba ya kwanza akiwa na umri wa miaka mingapi, amezaa jumla ya watoto 12 wametangulia mbele ya haki 2 wamebaki 10. Hakuzaa mapacha hata mara moja.

Nakadiria alianza kuzaa akiwa na miaka 16 -18, wakati huo alikuwa ameshaolewa na babu
 
Ile sheria inayoruhusu ndoa kwa watoto wa miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi wao si bado ipo?

Mwanafunzi asipoenda shule miezi sita bila ruhusa anakuwa amejifukuzisha shule.

Hao maafisa maendeleo walikuwa wapi kumsaidia huyo mtoto aende shule toka January?

Rika hilo wapo wengi tu mitaani wanabebeshwa mimba hakuna mwenye muda nao kisa siyo wanafunzi ila akitaka kuolewa kwa mahari tu, wanajitokeza wasamaria.

Hao wasamaria hawana lolote ni wivu tu!😁.
 
Wacha wapeleke hio bongo lala shule,
Hakuna watakachoambulia zaidi ya mimba..

Wacha single mama's waongezeke.
 
Mama zetu wengi walituzaa wakiwa na miaka hiyo yaani 15-17
 
Umenena vizuri sana,
Ningekuwa sina mke ningekuoa,
Ila namuomba mungu akupe mume wa khery
Umekuwa mkweli sana big up
 
Kanda ya ziwa mbona kawaida sana alafu huku wanaanza kufanya mapenzi wakiwa wadogo sana
 
Na Mimi Nina 40 yrs sijapata mke, kumbe tunafanana!!
 
Pole sana
 
Sheria ya ndoa si bado inaruhusu msichana wa miaka 14 kuolewa ila kwa ruhusa ya wazazi? Kwani ilishabadilishwa?
 
Eti tutamsaidia asome ili atimize ndoto zake, kwani kawaambia kama ana ndoto zozote kwenye elimu,, darasa la saba tu limemshinda mwacheni aolewe

Ustawi wa jamii wameona wivu maana pale kuna mimama huwa haiolewi na wakiolewa wiki wanaludi kwao.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kuna watu wako 40s na hawamudu maisha ya ndoa.
Wakati mwingine kuna facts nyingi zinazoweza kukufanya umudu maisha ya ndoa, mfano kiuchumi kama kwao wako njema wala hakuna gumu hapo.

Unyumba maana yake dogo yuko vizuri ndio maana anaoa.
Alaf kuna Sheria ya Ndoa 1977 inasema miaka 14 au 15 (sikumbuki vema) binti anaweza kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wake.

Kuna wanawake walisoma sana kutimiza ndoto zao saiv ni single mothers na stress zao hazielezeki

Tutumie akili sana tusikariri maisha
 
Unadhani wanafunga ndoa wakapanga Manzese? Kwanza jifunze family structure ya wasukuma ndipo useme hayo. Huu ni unyanyasaji na kuingilia mipangilio ya familia. Lakini pia ni nani aliyeamua kwamba miaka 17 kwa mvulana ni mtoto bado na 16 kwa msichana ni mtoto? Jiulize mabinti wanabebeshwa mimba wakiwa na umri gani? Haya ndio matokeo ya kuleta sheria eti watoto wa kike wasome shule huku wakinyonyesha. Kwa mwanamke hakuna ndoto inazidi kuolewa
 

Kuna mimama kibao iko huko Halmashauri ofisi za ustawi imekwama kupata ndoa inamuonea dogo wivu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…