Tatizo lenu ninyi wakenya ni kutokuwa na information za nchi zingine, Tanzania hairuhusu omba omba kuzagaa mitaani, wanakamatwa na kurudishwa walikotoka, kwahiyo huwa wanakimbilia nchi za jirani, kama wangeruhusiwa huku Tanzania, kamwe wasingelivuka mipaka, kwasababu watanzania kwa ujumla ni watu wenye kupenda kusaidia zaidi ya wakenya.