Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Ni kutojitambua tu sasa na huyo mke wa mtu naye kifungo kina msubiri, halafu huyo mme wake atapata mwanamke mwingine
mme wa mtu sumu , ilipaswa huyo dada anyongwe , anaondoka na bajeti ya mzee kisha familia inakosa huduma kisa mpuuz mmoja anampa jicho , kesho tunazalisha vijana waarifu sababu hawakupata huduma zao za msingi kutoka kwa baba
kaa mbali na waume za watu

kwa vile hii ni nchi ya wajinga itampa pole huyo dada
 
Ni mjinga tu kama hao vijana wa ovyo waliokubali kufanya tukio hilo!! ndio anaweza kukubaliana na mawazo yako, sasa hao vijana wataenda jela miaka 30, na huyo mjinga naye jela faida ipo wapi?? Yaani ujinga wa mme wako lawama umpe mwanamke?!! Wale waliofanya ujinga kama huo mwaka 2013, leo wanatumika kifungo cha mvua 30!,na jamaa aliyefanyiwa hivyo ndio anaishi na yule dada aliyefumaniwa naye, mjinga yupo jela, na huwa wanaenda kumuona akiwa nyuma ya nondo!!
 
Unajua magu watu walikua wanamuita diktekta Kwa watu kama Hawa wakikamatwa ni kifo
 
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja

Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi

Taarifa imetolewa na DCP Msiime
Msemaji wa Polisi

View attachment 3061184
Ule unyama hauna mfano!
Safiiii jeshi la polisi...
 
Back
Top Bottom