Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Nchi hii imefikia kubaya sana
Kuna uchafu mwingi unafanyika
Sasa 9,10 kuna yale matamasha ya baikoko ni nomaaa huko watu wanapigana mtungo wanazamishana chupa huku singeli amapiano wakitumbuiza
Dar sahv kuna wDada wanaanda sex party nahisi muandaji anafahamika wanauza kadi kingilio,huko watu watmbn wanafln

Ova
Naunga mkono hoja maeneo ya sinza kule ndio michezo Yao hii Cc ephen_
 
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja

Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi

Taarifa imetolewa na DCP Msiime
Msemaji wa Polisi

Pia soma >Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
View attachment 3061184
Kupigwa mande maeneo ya Yombo, vingunguti , KISIJU , kwa Mpalange, Kwa bonge na maeneo kama hayo ni kawaida sana.

Ndio maana wala jamii ya kiswahili hawana mshtuko.
Wanawale wanaharakati, wabunge viti maalum ambao infact hawana kazi maalum wapo kimya hata kwenye page zao wapo kimya.
Wanaompambania huyu binti ni watu wenye maisha bora, watoto wao wapo salama kwenye school bs na shule nje ya nchi , wenye watoto mazingira hatarishi wapo na habari za Pacome na Aziz Ki, haya hayawahusu.
 
mme wa mtu sumu , ilipaswa huyo dada anyongwe , anaondoka na bajeti ya mzee kisha familia inakosa huduma kisa mpuuz mmoja anampa jicho , kesho tunazalisha vijana waarifu sababu hawakupata huduma zao za msingi kutoka kwa baba
kaa mbali na waume za watu

kwa vile hii ni nchi ya wajinga itampa pole huyo dada
Mlaumu mume wako kwa kukosa akili ya kuitunza familia yake, mchepuko hauna makosa yoyote, lijinga ni li mume wako!!
 
 
Back
Top Bottom