Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Wale vijana akili hawana kabisa.Ilitakiwa walimalize kimyakimya.Wamelipwa 30000 watalipa kila elfu moja mwaka mmoja Mbwa wale.
 
Kinachonihuzunisha zaidi ni kusikia fununu kuwa wale vijana ni ama Polisi au wanatoka JWTZ.

Ni muda sasa majeshi yetu hayo mawili yajitenge na huo uovu kwa kuwakana au kuwakubali na kuwashughulikia kwa uwazi.
 
Kama kweli ni wanajeshi, Jeshi likiwaficha itakuwa ni aibu kuu!

Ili kujitenga huu ushenzi, ni muhimu mamlaka 'zikamtapika' mpaka huyo afande aliyewatuma.

Hatuwezi kuwa na watekelezaji wa sheria washenzi kiasi hiki.
sio askari ni machalii wahuni tu wa mtaani.
 
Kama kweli ni wanajeshi, Jeshi likiwaficha itakuwa ni aibu kuu!

Ili kujitenga huu ushenzi, ni muhimu mamlaka 'zikamtapika' mpaka huyo afande aliyewatuma.

Hatuwezi kuwa na watekelezaji wa sheria washenzi kiasi hiki.
Tatizo ni kuwa hapa bingo mtu akishakuwa askali anajiona answeza fanya lolote lile kama vile wakuu zake eanavyofanya
 
Kinachonihuzunisha zaidi ni kusikia fununu kuwa wale vijana ni ama Polisi au wanatoka JWTZ.

Ni muda sasa majeshi yetu hayo mawili yajitenge na huo uovu kwa kuwakana au kuwakubali na kuwashughulikia kwa uwazi.
tatizo kubwa ni elimu kwenye majeshi yetu mkuu.
Ni kweli kabisa.

Shida kubwa ni kwamba tuna Majeshi ambayo yanatumia nguvu nyingi zaidi kuliko akili au bila akili kabisa katika kutekeleza majukumu yake.

Tubadilike, tuanzishe Majeshi yanayohitaji matumizi makubwa zaidi ya akili kuliko nguvu.

Tuachane na mfumo mbovu wa Majeshi ya Kikomunisti/Ujamaa ambayo yanahitaji matumizi ya nguvu zaidi kuliko akili badala yake tuige mfumo wa Majeshi ya nchi za Kibepari ambayo huhitaji matumizi ya akili zaidi kuliko nguvu.

Video hapa chini ni ya Wanajeshi wa Jeshi la Nchi ya Korea ya Kaskazini wakiwa kwenye Maonyesho ya Siku ya Mashujaa wa Taifa lao.
 
Attachments

  • 5746963-e338a2cb928c14e768bc38b03ac69fee.mp4
    7.8 MB
Its simple, achana na wake za watu. Its easy, achana na wanaume za watu.

Njaa isikuamlie, Tamaa isikufundishe.

Pia soma: Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu

Wanadamu tumekuwa wachungu sana, hali ni ngumu na vitu ni gharama, stress kibao alafu leo mtu asikie unatembea na mwenza wake eti akuache hivi hivi. NO WAY.

Mara nyingine unakuta vijana ME humu jf wanaandika kusifia kula wake za watu.

Wengine vijana KE humu anaandika eti anaomba ushauri anampenda bwana ila ana mke.

Shauri zenu.
🚮🚮🚮
 
Kinachonihuzunisha zaidi ni kusikia fununu kuwa wale vijana ni ama Polisi au wanatoka JWTZ.

Ni muda sasa majeshi yetu hayo mawili yajitenge na huo uovu kwa kuwakana au kuwakubali na kuwashughulikia kwa uwazi.
Hii issue inatakiwa kutolewa statement na jeshi.

Watu wametoa mpaka jina, namba ya simu, viongozi wa mtu jeshini alivyokuwepo. Ingawa kuna mtu alifukuzwa jeshini, tunahitaji statement kamili kutoka jeshini.
 
Its simple, achana na wake za watu. Its easy, achana na wanaume za watu.

Njaa isikuamlie, Tamaa isikufundishe.

Pia soma: Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu

Wanadamu tumekuwa wachungu sana, hali ni ngumu na vitu ni gharama, stress kibao alafu leo mtu asikie unatembea na mwenza wake eti akuache hivi hivi. NO WAY.

Mara nyingine unakuta vijana wa kiume humu JamiiForums wanaandika kusifia kula wake za watu. Wengine vijana wa Kike humu anaandika eti anaomba ushauri anampenda bwana ila ana mke.

Shauri zenu.
Ila alicho fanya yeye kutembea na Mume wa mtu ndio halali au sio 🤣🤣 mabinti wa dizaini io io ndio adhabu yao inayo wafaa kwasababu ndio kitu wakipendacho.
 
Back
Top Bottom