Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Usidhalilishe lami brother
Iyo askari no mjinga kama kinyesi
To me anafaa kufananishwa na kinyesi
Usiwe unakurupukia vitu usivyovijua kwahiyo umeshaamini wale ni askari tena JWTZ? Next time kuwa makini hasa unajodali mada na watu wanaojielewa
 
Ingekuwa picha ya mama yohana msaga sumu ndo imechomwa hao wahusika wangeshakamwatwa....

Anyways anaetaka vedeo aseme...
 
Usiwe unakurupukia vitu usivyovijua kwahiyo umeshaamini wale ni askari tena JWTZ? Next time kuwa makini hasa unajodali mada na watu wanaojielewa
Nadhani walikuwa huko lakini walifukuzwa kipindi cha mafunzo, nimeona twitter mtu kapost details za yule mmoja
 
Yaani Mpaka sasa hawakamatwa? 24hrs zinapita bila kukamatwa? Wameshindwa kwenda MSATA na Mapinga kuwatafuta?
 
Polisi wapo kimya kwenye ishu sensitive raia ndio wanatoa taarifa ila kwenye vitu vya kijinga wao ndio mstari wa mbele...
Yaani inashangaza sana ,kwenye issue ya jamaa wa mbeya katumia muda kutafuta karatasi yake ,kanunua peni zake ,kakaa chini ,kachora image ya mama kizimkazi baadae akaona ngoja niipige kibiriti ,akatafutwa kama OSAMA ndani ya muda mchache kawekwa kizuizini...ila kwa hao wahuni wamefanya tukio la kikatiri ambalo halitafutika kichwani mwa yule binti lakini mpaka sasa hawajapatikana ,ni aibu sana kwa GESHI letu.
 
kuna mtu kanitumia ule uchafu, bahati mbaya nimeuona. ila, nimeona kama walikuwa kwenye ulevi, wote binti na wale vijana. kuna uwezekano kapigwa mtungo ila sio kubakwa, ila tusikie kwanza kutoka kwa watesi wake watakapokamatwa wakiminywa watasemaje, ila binti akiulizwa, lazima atatoa defence ya aina yeyote ile. Mungu awasaidie.
 
Ni ujinga wa kiwango cha lami. Badala kubdeal na mume unaenda ku deal na mwanamke mwanzako. Kazi hana, mume atamkosa na jela inamhusu. Wakati mwingine sijui watu wanafikiria kwa kutumia nini.
Uovu lazima umteketeze mtenda sooner or later.

Hebu ona; watu zaidi ya mmoja wanafanya jinai na kurecord na kati yao hamna anayeshtuka kuwa tutajiponza. Akili zao zimefungwa namna gani?

Huyo mke wa mtu hajui maana ya “hakuna siri ya watu wawili? Maana yake amejiamini vipi kupanga uovu na 3rd parties akijua atabaki salama?

Now boom! wanasakwa kila kona.

Karma.
 
unafiki ndo ttzo lenu , hao watoto wanaacha watu single wanaenda dandia watu za watu , anapewa bajeti nzima na anaenda kumkejel mke wa jamaa

acha yamkute , hatutaweza yamaliza haya bila kuwepo mazingira ya kutisha kwao , date na mtu wa type yako animal wote na sio kudandia mafanikio ya watu
Huyo mume aliona huyo binti ni type yake! Uko mbali sana na ukweli.
Mwambie mumeo atulie!
 
wazazi wao kwa kutowapa msingi imara wa kujua mbivu na mbichi , mwishowe tamaa ya elf 5 inaenda haribu maisha yake na kisha anaanza tafuta wababa wa watu ili kupata zaid ya elf 5
Wewe ni mpuuzi. Huyo mume achana naye naona anakutia uchizi!
 
Back
Top Bottom