lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Hii issue inatakiwa kutolewa statement na jeshi.
Watu wametoa mpaka jina, namba ya simu, viongozi wa mtu jeshini alivyokuwepo. Ingawa kuna mtu alifukuzwa jeshini, tunahitaji statement kamili kutoka jeshini.
Nashangaa pia kuona hadi sasa JWTZ halijasema lolote kuhusu hao vijana kuhusishwa na JWTZ.
Hata hivyo nchi yetu ni nchi ya kushangaza.
Hata hivyo nchi yetu ni nchi ya kushangaza.