Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Ghaiii… ila binadamu 🙌

Mpaka mke anatuma wahuni means nae alishakuwa useless kwa mume. Angekuwa na thamani wangeyajenga chumbani.

Wanaume wasio cheat ukikusanya laki 1. Wasiocheat unapata mmoja au ukose kabisa 🤣🤣
Sisi wanaume tunachiti sana , ila siku hizi wake nao wameanza kujenga hiyo tabia. Lakini kwa wanaume ni level nyingine.
 
Si ulikuwa unaogopa jamani
Ujasiri umeutoa wapi tena
Nimeangalia saizi kipenzi,. Kiukweli inasikitisha lakini mbona kama hao majamaa wote ni askari na sio wahuni kama wanavyosema🤔🤔,. Halafu huyu binti em ngoja kwanza…. Halafu mbona kama majamaa ndo wanaonekana walichoka halafu binti bado wamoto,. Like howw??🤔🤔
Au sio katoto🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…