Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Ghaiii… ila binadamu 🙌

Mpaka mke anatuma wahuni means nae alishakuwa useless kwa mume. Angekuwa na thamani wangeyajenga chumbani.

Wanaume wasio cheat ukikusanya laki 1. Wasiocheat unapata mmoja au ukose kabisa 🤣🤣
Sisi wanaume tunachiti sana , ila siku hizi wake nao wameanza kujenga hiyo tabia. Lakini kwa wanaume ni level nyingine.
 
Nimeangalia mkuu inasikitisha kwakweli,. Halafu hawa majamaa mbona kama ni askari na sio wahuni tu kama wanavyosema🤔🤔,. Nimeangaliaa style zao za kunyoa na ndevu pia mbona hawana,. Na wengine ni kama ni wadogo bado🤔
541EE48B-80FC-403B-B0E3-27EAB93518B8.jpeg


E21FECF5-5B5C-459C-9F8E-D69E90218F41.jpeg
 
Si ulikuwa unaogopa jamani
Ujasiri umeutoa wapi tena
Nimeangalia saizi kipenzi,. Kiukweli inasikitisha lakini mbona kama hao majamaa wote ni askari na sio wahuni kama wanavyosema🤔🤔,. Halafu huyu binti em ngoja kwanza…. Halafu mbona kama majamaa ndo wanaonekana walichoka halafu binti bado wamoto,. Like howw??🤔🤔
Au sio katoto🤔
 
Back
Top Bottom