Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 550
- 1,071
Kwa nini mkuu?WALIFANYA VIZURI KUTOMPA MAJI YA KUNYWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuu?WALIFANYA VIZURI KUTOMPA MAJI YA KUNYWA
Chota maji kikombe kimoja cha chai halafu kayamimine kwenye makaa ya moto.Kwa nini mkuu?
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja
Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi
Taarifa imetolewa na DCP Msiime
Msemaji wa Polisi
Pia soma
- Peter Madeleka: Ikiwa DPP Mwakitalu hatawapeleka mahakamani ndani ya saa 24 waliombaka binti wa Yombo, mimi nitawapeleka
- TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuwatia nguvuni waliohusika na kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia kilichotokea Yombo Dovya
View attachment 3061184
Hiyo ni adhabu ndogo bwn Isanga.....inatakiwa na wao wafanywe vile vileHao wahuni ilitakiwa wapigwe risasi hadharani na huyo mke aliewatuma ili iwe fundisho kwa wengine...ingawaje adhabu yao ndogo ni kufungwa maisha
Swali zurikwamba iyo video imevuja au wamepost wao wenyewe kuhisi ni ujanja🤔?
Tuna mwabukusi na madelekaHawatafanywa kitu hao mtaambiwa tu Binti hatoi ushirikiano kwa jeshi la police
Inasikitisha na kuogopesha at once,. Ila hao majamaa wachukuliwe hatuaNdiyo ni ma PTE.. private
Kwani hakuna askari muhuni? Wapo.
Mtu kamaliza Level 3 mwaka huu means ni mpya bado kwenye game. Hata umoto moto wa kozi haujamuisha. Wenge la boss kampa kazi ndio maana wakakosa hata akili za kufikiria itakuwaje wakijulikana.
Mimi sijaona 😂😂
maybe sio mtoto. Au ni hao watoto wakubwa wa 2000s… katoto kamewapelekea moto 🤔🫢
ooooh 😬Ni wadogo. Nia askari hali kabisa. Waliagizwa na boss wao wa kike.
Ni kuomba tu Mungu aisee,. Na kuwa makini na watoto wetu maana dunia ya saizi inatishaAingie kwenye hiyo akaunti ya twitter kama jamaa hajaifuta. Ila inakera na kutia hasira sana. Wale mbwa kama wangemfanyia vile binti yangu au ndugu yangu hakika wangelipa
Kwa askari alie kwenye jeshi tofauti na polisi ukifanya kosa la jinai ni lazima upelekwe mahakama ya kijeshi ufukuzwe kwanza kazi alafu ndo unakabidhiwa kwa polisi kuendelea na kesi ya jinai hivyo hivyo kwa polisi unafukuzwa kwanza kazi kwenye mahakama yao ya kijeshi alafu unaendelea na mashitaka yako kama muhalifu ambae jeshi limeshajitenga na wewe, kwahiyo jamaa kwa kinachoendelea hadi sasa kama kweli ni askari basi tayari wameshakamatwa zinaanza taratibu za awali za kufukuzwa kazi na zinazofata ni watuhumumiwa kukabidhiwa polisi na kufikishwa mahakamani.Inasikitisha sana kwa kweli.
Polisi nadhani wamepata ganzi kwasababu hao WAHUNI waliombaka Binti ni Kutoka JWTZ na muhusika aliyewatuma ni Captain wa JWTZ.
Tusipepese macho.
Wale huwa hawatumii akili mara nyingi hutumia nguvu,nenda kambi hasa za jkt uone wanavyojidhalilisha kisa vimwanaume vyao.Kule wengi shule walifeliLazima dada mwanajeshi akili ilimruka mume wake naona alipagawa Kwa binti ,, binti anaonekana Yuko [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kwenye 6x6 . Dada mwanajeshi akapandwa na kichaa cha ndoa......
Tuwakate DUDU kabla ya kukamatwa na Polisi wetuNdugu zangu salam
Kutokea tukio la binti kufanyiwa ukatili wa kingono na njemba zaidi ya wanne kumekua na makatazo mbali mbali na amri za kutisha zakutokuisambaza video iliyorekodiwa ikionyesha wahusika waliotekeleza unyama huo.
Vyombo mbali mbali vimeomba na kuombwa ushikikiano ili watu hao watiwe nguvuni .
Swali ni kwamba
1: Huku uraiani sisi wengine tunaoishi na ndugu jamaa na marafiki zaoau walikua marafiki zetu, tutajuaje wahusika ni hawa ili tuwachomeshe wakamatwe kama kuna katazo la kuendelea kuisamba hiyo video limetolewa?
2: Majeshi mengine na taasisi zingine za kiupelelezi zitajuaje kama wahusika ndo hawa ili baadhi ya askari watakao kutana nao katika mizunguko ya kimaisha wawatie nguvuni?
3: Tunajua walikua wanaenda kwenye nyumba za ibada, sehemu za huduma za kijamii, na kwenye mikusanyiko mbali mbali au sehemu za starehe, je, kama wametoa katazo ni vipi sisi raia / askari ambao hatujaona sura za wahusika tunaweza vipi kushirikiana kutoa taarifa au kuwatia nguvuni kuwa wa husika ni hawa ili hali kunakatazo limetolewa la kutokuendelea kusambaza ile video ya unyama uliofanyika?
Wajifunze kupitia hili mahusiano hayataki nguvu...Wale huwa hawatumii akili mara nyingi hutumia nguvu,nenda kambi hasa za jkt uone wanavyojidhalilisha kisa vimwanaume vyao.Kule wengi shule walifeli