Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kweli
Kweli kabisa,nakumbuka nilipokuwa secondary,jamaa zangu waliniambia kuna dada anatakiwa akabakwe msituni wa shule,Mimi moyo wangu uligoma kabisa, Matokeo yake wote walifukuzwa shule!Sasa wamekuwa watu wazima,mmoja nilikutana nae anajutia jambo hili na halitokaa limtoke kichwani ni la kipuuzi mno.Nafikiria tu jinsi ambavyo wazo la mtu mmoja linavoenda kuwaponza watu wengi ndo maana in lazima kujiepusha kuwa na marafiki wasiofaa maishani mwetu,
Kati ya wale watano kuna mmoja alipewa taarifa na akaamua kuwashirikisha rafiki zake kwa sasa wapo katika majuto makubwa mno.