Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Shetani akikutawala dakika kumi anaweza kupoteza maisha yako yote yaliyobaki!

Hawa watu walikuwa wanajua kuwa kwa kufanya hivi wamejihukumu kwenda kufia jela?
Sijui walikuwa wanawaza nini. Hawa ni wahuni by nature. Sijui huko jeshini waliingiaje. Huyo sijui boss wao naye ni muhuni. Yaani hili litamfanya mume wake ajuie kumbe alikuwa anaishi na jambazi ndani
 
Kuna mtandao wa Jamaica/Marekani wanaziuza hizo baikoko kwa kuwalipisha member wao $50 AS monthly Subscription plan So hao wachonjoaji wanatumika kunufaisha watu wengine bila wao kujua ,pia kuichafua vibaya mno nchi yetu maana wenye huo mtandao wanasema ni utamaduni wetu kufanya hizo mambo.
 
Bora ukose pesa ila sio akili.
1)UKIAMBIWA CHAGUA KATI YA PESA NA ELIMU JIBU NI KUCHAGUA PESA.
2)LAKINI UKIAMBIWA CHAGUA KATI YA PESA NA AKILI JIBU NI CHAGUA AKILI .

Kwa sababu AKILI ni zaidi ya PESA na PESA ni zaidi ya ELIMU...ukiwa na pesa unaweza kuajili wenye elimu wakakutumikia au wakakufunza elimu.
 
20240806_102807.jpg
20240806_102753.jpg
Astaghafirullah Astaghafirullah Astaghafirullah
 
Sina maneno mengi ila kusema Tanzania kwisha habari yake. Rasmi Tanzania siyo sehemu salama ya kuishi ama kutembelea. Nguvu tunayotumia kutangaza utalii wetu ni hopeless kabisa na kama mambo yataendelea hivi, hakuna haja ya kusema tuna vyombo vya Sheria. Mtoto wa kike anapaswa kulindwa na mamlaka kukaa kimyaa ni kutudharau watanzania.
 
Ndugu zangu salaam

Kutokea tukio la binti kufanyiwa ukatili wa kingono na njemba zaidi ya wanne kumekua na makatazo mbali mbali na amri za kutisha zakutokuisambaza video iliyorekodiwa ikionyesha wahusika waliotekeleza unyama huo huku tukifahamu kweli ni kinyume cha sheria kuendelea kusambaza

Pia vyombo mbali mbali vimeomba na kuombwa ushikikiano ili watu hao watiwe nguvuni .

Swali ni kwamba

1: Huku uraiani kuna wengine wanaoishi na ndugu jamaa na marafiki zao au walikua marafiki zao, watajuaje wahusika ni hawa ili wawachomeshe wakamatwe kama kuna katazo la kuendelea kuisamba hiyo video limetolewa na huku inafahamika kuendelea kuisambaza ni kinyume na sheria?

2: Tunajua walikuwa wanaenda kwenye nyumba za ibada, sehemu za huduma za kijamii, na kwenye mikusanyiko mbali mbali au sehemu za starehe, je, kama wametoa katazo ni vipi raia ambao hawajaona sura za wahusika wataweza vipi kushirikiana kutoa taarifa au kuwatia nguvuni kuwa wa husika ni hawa ili hali kunakatazo limetolewa la kutokuendelea kusambaza ile video ya unyama uliofanyika ambapo tunajua kuisambaza ni kinyume na sheria za mtandaoni?

Nb. Sipo hapa kuhalalisha hiyo video iendelee kusambazwa na ninapinga vikali maana ni kuvunja sheria kuendelea kuisambaza

Ila ...

Je, nini kifanyike ili sura za wahusika waliotenda kosa hilo zipatikane haraka na kuwekwa wazi ili kuwezesha kupatikana ushirikiano wa haraka kutoka kwa raia utakao wezesha hao jamaa watiwe nguvuni upesi na sheria ifate mkondo wake.
We sema tu unapenda iyo mambo isambae basi

Yani ubongo wako ni empty kabisaa
 
Back
Top Bottom