Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Ni tatizo kubwa ila wanawake tusiwe weak kiasi hicho,mtu ameacheat move on,thats your strength,kama huwezi kumsamehe muache,kama unaweza samehe muendelee na maisha hakuna haja ya kumfanyia mwingine ukatili
Ujinga mwingi kwa wanawake ambao wako weak. Unafanya maamuzi ambayo yatagharimu maisha yako yote.
Huwezi kutuma watu wambake mwanamke kisa katembea na mumeo. Kwanza sidhani kama hata hiyo ndoa ilikuwepo maana na ujeda wake kashindwa ku deal na mumewe.
Tafuta maisha mengine kala unaona huwezi kuishi na mwanume ana cheat. Simple.
 
Kama umeiona video usiisambaze ili na wengine waone.
Wewe ulieona utalisaidia jeshi la polisi iwapo utawatambua wahusika.

Kusambaza ni kosa, hata mimi siafiki usambazaji wa hiyo video ni kuzidi kumdhalilisha huyo binti.

Sidhani kama kwa ishu ilipofika ati polisi hawana clue yoyote, sio kweli.
Nachoshukuru Mungu sijaiona hiyo video Wala sitapenda kuiona. Ila zile nyingine wanazovujisha wenyewe wakiwa wanapeana maraha kama ya "Mama J" wa Yanga, aaaaha hizo safi, mapena TU naomba connection.
 
Dunia itaisha mda si mrefu ,shetani anaebdesha Dunia kwa Namana anavyotaka.
Kuna mtandao wa Jamaica/Marekani wanaziuza hizo baikoko kwa kuwalipisha member wao $50 AS monthly Subscription plan So hao wachonjoaji wanatumika kunufaisha watu wengine bila wao kujua ,pia kuichafua vibaya mno nchi yetu maana wenye huo mtandao wanasema ni utamaduni wetu kufanya hizo mambo.
 
Dunia itaisha mda si mrefu ,shetani anaebdesha Dunia kwa Namana anavyotaka.
Kuna mtandao wa Jamaica/Marekani wanaziuza hizo baikoko kwa kuwalipisha member wao $50 AS monthly Subscription plan So hao wachonjoaji wanatumika kunufaisha watu wengine bila wao kujua ,pia kuichafua vibaya mno nchi yetu maana wenye huo mtandao wanasema ni utamaduni wetu kufanya hizo mambo.
 
Ujinga mwingi kwa wanawake ambao wako weak. Unafanya maamuzi ambayo yatagharimu maisha yako yote.
Huwezi kutuma watu wambake mwanamke kisa katembea na mumeo. Kwanza sidhani kama hata hiyo ndoa ilikuwepo maana na ujeda wake kashindwa ku deal na mumewe.
Tafuta maisha mengine kala unaona huwezi kuishi na mwanume ana cheat. Simple.
Mkuu unazungumza nini weweeee. Mwenzako alimbanika mwenzake na magunia kadhaa ya mkaa hadi akaishaa

Mwingine alimchomea mwenzake ndani hadi akafaaa sasa hiyo kubaka utafananisha na kuua?

Tuweke hisia mbele hakuna kosa kubwa kama kuua?
Haya mengine tunayafanya kihisia tuu. Mtu alofanya hili kosa mbona anaunafuu kwenye adhabu
 
Kama umeiona video usiisambaze ili na wengine waone.
Wewe ulieona utalisaidia jeshi la polisi iwapo utawatambua wahusika.

Kusambaza ni kosa, hata mimi siafiki usambazaji wa hiyo video ni kuzidi kumdhalilisha huyo binti.

Sidhani kama kwa ishu ilipofika ati polisi hawana clue yoyote, sio kweli.
Nashangaa unasema watu tusiisambaze hio vedeo...Sasa bila kusambazwa tungejuaje??
Na hao wanaodai tusiisamabaze wameiona...je wameipata wapi??
Embu deal na walio irekodi. .tuwache tuisambaze....
Aya anayeta Ani pm ba ndugu...
 
Mkuu unazungumza nini weweeee. Mwenzako alimbanika mwenzake na magunia kadhaa ya mkaa hadi akaishaa

Mwingine alimchomea mwenzake ndani hadi akafaaa sasa hiyo kubaka utafananisha na kuua?

Tuweke hisia mbele hakuna kosa kubwa kama kuua?
Haya mengine tunayafanya kihisia tuu. Mtu alofanya hili kosa mbona anaunafuu kwenye adhabu
Unafuuu gani, wote wanakula kifungo cha maisha. Siku hizi watu hata hawanyongwi ni hukumu tu na hakuna utelelezaji. Wote wanapitia maumivu yako palepale
.
 
Mkuu unazungumza nini weweeee. Mwenzako alimbanika mwenzake na magunia kadhaa ya mkaa hadi akaishaa

Mwingine alimchomea mwenzake ndani hadi akafaaa sasa hiyo kubaka utafananisha na kuua?

Tuweke hisia mbele hakuna kosa kubwa kama kuua?
Haya mengine tunayafanya kihisia tuu. Mtu alofanya hili kosa mbona anaunafuu kwenye adhabu
Sasa pale walibakiza nini kama sio kuua. Unaichukulia lile jambo powa wewe.
 
Nimeona siwezi hata kukutumia nimejisikia vibaya sanaaaa🥹🥹🥹
Acha hisia mkuu. Hapo mie sioni kama ni issue kubwa kivile kama wale walochinja watoto au kuchoma mwenzake kisa haya maujinga.
Ifike mahala tujue makosa makubwa zaid ya mengne kwa adhabu.
Hiv yule alomchoma mme wake ndan had akafa we waonaje?.isiwe kisa umeona wahun wakipeleka moto ukafa ganziii.

Siungi mkono walichofanya ila sipendi tuwe kihisia zaid katika makosa haya ya jinai maana kunapoteza uhalisia. Pia tukumbuke kuna watoto wanalawitiwa na kuharibika kabisaaa tofaut na huyo mtu mzima ambaye aliyatafuta. Ila mtoto alolawitiwa anakosa ganiii?
 
Yote ni makosa makubwa. Hivi unadhani huyo binti atakuwaje baada ya hapo? Sasa wale si kama wauaji tu?
 
Back
Top Bottom