Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Unafuuu gani, wote wanakula kifungo cha maisha. Siku hizi watu hata hawanyongwi ni hukumu tu na hakuna utelelezaji. Wote wanapitia maumivu yako palepale
.
Njoo hapa gereza la Isanga Dodoma au nenda Uyui tabora ukashuhidie watu wanavyoliwa vichwa.danganyweni tu huko mitaani. Hangaya mwenyewe toka aingie keshalamba wengi tu muone na ushungi wake ule umchukulie poa.
 
😄😄😄😄😄,kinachonisumbua akili mpaka sasa,ni huyu capt mzima kulizwa na mapenzi mpaka akili zikasimama.ingawa mahakamani anaweza wanawa hawa watoto vyema kabisa,kwamba nao wana akili,sikuwashinikiza kufanya waliyofanya.

Lakini pia huwa napenda kusema,utakuwa mpumbavu wa kiwango kikubwa kukubali kwamba taasisi zote nchini zina uvundo ila sio jeshi letu la ulinzi😄😄.
Jeshi lina vilaza vilevile kama taasisi nyinginezo. Hawahawa vijana wavuta bangi ndio wanaenda uko, kwa asili kama mtu ni kilaza hata umpe mafunzo namna gani anabaki kilaza. Sasa Captain anawaambia wajirekodi wachukue ushahidi, anawaagiza kabisa ina maana akili zake fupi hazing'amui kwamba hilo ni kosa kisheria na kuna hatari ya hilo tukio kujulikana na kuwa viral.

Hapo huyo ni kapteni, je hawa walioagizwa. Huyo mtu aliwezaje kuwa Captain kwa akili maandazi kama hizi. Ni kina nani walimpitisha awe cheo hicho.
 
Masawali mengi kuliko majibu
 
Elimu inayotusumbua watu wengi ni ELIMU ya KUJITAMBUA.
 
Ila wale jamaa sijui wa wapi yaani unabaka huku unajirekodi then unatuma kwa watu ni kwamba nchi hii ya baba ako umeishika🚮🚮
Labda ulikuwa ni ushahidi kwa aliyewatuma kuwa wamemaliza kazi!
 
Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja

Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi

Taarifa imetolewa na DCP Msiime
Msemaji wa Polisi

Pia soma

View attachment 3061184
Mwananchi mwenye taarifa na wa kuanza nae ni huyo mhanga wa tukio.
 
Jeshi lina vilaza vilevile kama taasisi nyinginezo. Hawahawa vijana wavuta bangi ndio wanaenda uko, kwa asili kama mtu ni kilaza hata umpe mafunzo namna gani anabaki kilaza. Sasa Captain anawaambia wajirekodi wachukue ushahidi, anawaagiza kabisa ina maana akili zake fupi hazing'amui kwamba hilo ni kosa kisheria na kuna hatari ya hilo tukio kujulikana na kuwa viral.

Hapo huyo ni kapteni, je hawa walioagizwa. Huyo mtu aliwezaje kuwa Captain kwa akili maandazi kama hizi. Ni kina nani walimpitisha awe cheo hicho.
Jeshi macaptain wengi vichwa hamna kitu ...wanajeshi wapo wapo tu

Ova
 
Kama umeiona video usiisambaze ili na wengine waone.
Wewe ulieona utalisaidia jeshi la polisi iwapo utawatambua wahusika.

Kusambaza ni kosa, hata mimi siafiki usambazaji wa hiyo video ni kuzidi kumdhalilisha huyo binti.

Sidhani kama kwa ishu ilipofika ati polisi hawana clue yoyote, sio kweli.
Lengo ni kuwaficha hao wabakaji na kuwalinda wasijulikane ccm ni 💩
 
Dunia inaenda kuisha.Hivi kweli tumefikia hapa Kama taifa ambalo watu wake ambao ni wamoja na wenye upendo.Hivi binadamu wa kawaida wanafanya vitendo hivyo vya kinyama Kama hili la huyo Binti mdogo.Watoto wetu tuwalele wapi?Hao vijana wanyongwe inatia hasira sana.Binadamu tumrudie Mungu.
 
Natoa angalizo tu haya mambo yalianza kwa kutuhumiwa mkuu wa mkoa na sasa anatuhumiwa mjeda Mungu wa Mbinguni atakasirishwa sana na huu uovu

Imenilazimu kupanda Mlimani kumuomba Mungu wa Mbinguni aingilie Kati

Mlale Unono 🐼
 
Hayo ni yamerekodiwa ,lakini yanayotokea ambayo hauyaoni ni hatari...

Ulishawahi kusikia BUNYERO BUNYERO ,kanga Moko ,Laki si pesa? Ushapita sehemu wanaoijiuza wanawake? ushawahi kupita kwenye "MASAJI" centre ,mandanguro ,na salon hizi za kunyoa buku 15?
 
Msiwataabishe polisi,

Acheni mara Moja kupokea pesa za mbwa zinazokuja Kwa Jina la misaada.

Tafakari!!
 
Back
Top Bottom