Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Nilivyowaelewa Masauni na Gwajima ni kwamba hao WAJEDA washawekwa "LUPANGO" ila JESHINI ,kuna taratibu za kumkamata MJEDA ndiyo zinafuatwa ,zikikamilika wanakabidhiwa kwa POLISI waendelee na mtu wao.

Kwakuwa ili jambo lina public interest tunaomba hizo taratibu zifuatwe kwa uharaka ,kwanza hao jamaa lazima wafukuzwe kazi ,ili wafukuzwe means lazima taratibu za kuachishwa kazi zifuatwe ,signs zipite kote kote na mtuhumiwa aelezwe kosa lake....Ila according to Bon Yai jamaa washakamatwa kweli ila wapo kizuizini KAMBINI.
Huko watashurutishwa vya kutosha na MP wapenda sifa.
 
Demu mzoefu ila wamekosea kumdhalilisha nyuma kama mbele kitu kimepita bila kipingamiz vijna wnaroho mbaya sana wale
 
Lengo ni kuwaficha hao wabakaji na kuwalinda wasijulikane ccm ni 💩
Na sio kumlinda binti??

Siafiki kuisambaza hiyo video, na pia wabongo hamna desturi ya kuisadia polisi, mtaishia kulaani mitandaoni na kuiuza hiyo video.
 
Nashangaa unasema watu tusiisambaze hio vedeo...Sasa bila kusambazwa tungejuaje??
Na hao wanaodai tusiisamabaze wameiona...je wameipata wapi??
Embu deal na walio irekodi. .tuwache tuisambaze....
Aya anayeta Ani pm ba ndugu...
Kuisambaza ni kosa kisheria na pia ni kuzidi kumdhalilisha huyo binti wala sio kuwajua hao wabakaji.

Watazamaji mnaconcentrate kwa mhanga na sio wahalifu. Sura ya binti ipo kichwani mwenu na sio za wabakaji na ndio maana huoni popote walipofatwa wabakaji, hata vyombo vya habari vimemtafuta binti maana ndo maarufu na content yao itaenda viral kuliko kuwaongelea wabakaji.
 
Nachoshukuru Mungu sijaiona hiyo video Wala sitapenda kuiona. Ila zile nyingine wanazovujisha wenyewe wakiwa wanapeana maraha kama ya "Mama J" wa Yanga, aaaaha hizo safi, mapena TU naomba connection.
Ni ujinga kuendelea kuisambaza hiyo video.
Mtu anaitafuta kwa udi na uvumba apigie puli tu, nae asambaze kwa wengine.

Huko ni kumdhalilisha huyo binti na sio kumsaidia.
 
Siwezi kuwapa mzigo wanaoendeshwa mpaka sasa muongozo wa CCM kuhusu idara ya jeshi la polisi.

Yaani kuna amani unapata ukisikia sio ndugu yako kafanyiwa ila ukisikia ni jirani huwezi kuwa na uchungu.

Ni wazi kuwa serikali sio msaada wa wananchi. Leo unabomolewa nyumba usifie barabara kama walivyofanyiwa morogoro.

Nchi iliyokuwa na muelekeo, Masauni ufai kuwa hata mpanda mabasi ya jamii kwa maisha haya
 
Adui wa mwanamke n mwanamke mwenzake ...

Vuta picha huyo anayeombwa msamaha hapo na huyo dogo Kwenye video .anasema afandee nisamehee kumanishaa n mwanamke mwenziee kawatuma hao maboya kuja kufanya huo unyamaa...

Ni huzuni...
 
Siwezi kuwapa mzigo wanaoendeshwa mpaka sasa muongozo wa ccm kuhusu idara ya jeshi la polisi.

Yani kuna amani unapata ukisikia sio ndugu yako kafanyiwa ila ukisikia ni jirani uwezi kuwa na uchungu.

Ni wazi kuwa serikali sio msaada wa wananchi.
Leo unabomolewa nyumba usifie barabara kama walivyofanyiwa morogoro.

Nchi iliyokuwa na muelekeo masauni ufai kuwa hata mpanda mabasi ya jamii kwa maisha haya.

Ukweli unauma hata hapa moderator mnaona ni kawaida ila mna watoto na mkifuta mjue kuna siku mtafanyiwa nyie na tuta wapuuzia kwa ajili mnafuta vilio vya watu
Kuna siku Maisha yatawashangaza hawa viongozi wasiojali
 
Tanzania ya sasa kama hauna wadhifa au watu wenye wadhifa waka kutetea you’re nothing, afande akichukuliwa mume anakodisha watu wakalawiti, waziri anatuhumiwa kukodisha watu wakaingizie mtu chupsa, mkuu wa wilaya anatuhumiwa kulawiti sasa kila mtu mwenye nafasi ya juu akiamua kufanya hivi what’s next .haya mambo yakemewe jeshi la polisi lisimame bila upendeleo na sio hizi kauli za kila siku za tunachunguza pindi kesi inapokuwa inahusisha watu au taasisi nyeti.next generation zitawahukumu
 
mWAMBIE aAMIA AWAWAJIBISHE KAMA ALIVYOFANYA KWA NAPE KAMA wAMBURA HAJACHUKUA HATUA MAANA KUNA KAMA KULINDANA, KWANINI HAWATAJI MAJINA YA HAO WANAOSeMA WAMEWAKAMATA. mBONA KWA MTOTOT ALBINO WALIMKOMALIA PaROKO NA MAJINA YAKE SASA HAWA WANAFICHA NINI? masauni anaficha majina
Mwandiko wa Pdidy huu
 
Naomba nieleweshwe vizuri hapa wakuu,binti kabakwa au walikubaliana, kama kabakwa wacha jamhuri iwashughulikie vijana,kama walielewana na binti karidhia tatizo nini ?
 
Back
Top Bottom