Nilivyowaelewa Masauni na Gwajima ni kwamba hao WAJEDA washawekwa "LUPANGO" ila JESHINI ,kuna taratibu za kumkamata MJEDA ndiyo zinafuatwa ,zikikamilika wanakabidhiwa kwa POLISI waendelee na mtu wao.
Kwakuwa ili jambo lina public interest tunaomba hizo taratibu zifuatwe kwa uharaka ,kwanza hao jamaa lazima wafukuzwe kazi ,ili wafukuzwe means lazima taratibu za kuachishwa kazi zifuatwe ,signs zipite kote kote na mtuhumiwa aelezwe kosa lake....Ila according to Bon Yai jamaa washakamatwa kweli ila wapo kizuizini KAMBINI.