Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Sema MAISHA ya kuendekeza uhuni hayafai.

Binti kakosa watu wa kumuongoza kaangukia kwa wahuni.

Vijana wamekosa watu wa kuwaungoza wameenda kuangukia nyuma ya nondo.


Ulimwengu wako unaangaza sana.

Nimesikitika kuona vijana wadogo wakipoteza mwelekeo thabiti .
 
Usiishee kwa watu wengine, utajitafutia msala, nilliingalia kupitia akaunti ya twitter (X) ya mtu anaitwa Patron wa geita nikaiacha huko huko wala sikuisevu.
Mwenyewe nilikua nataka nimtumie link akaangalizie x lakini basi ngoja tuache tu
 
Ndiyo ni ma PTE.. private

Kwani hakuna askari muhuni? Wapo.
Mtu kamaliza Level 3 mwaka huu means ni mpya bado kwenye game. Hata umoto moto wa kozi haujamuisha. Wenge la boss kampa kazi ndio maana wakakosa hata akili za kufikiria itakuwaje wakijulikana.

Mimi sijaona 😂😂
maybe sio mtoto. Au ni hao watoto wakubwa wa 2000s… katoto kamewapelekea moto 🤔🫢
 
Mwenyewe nilikua nataka nimtumie link akaangalizie x lakini basi ngoja tuache tu
Aingie kwenye hiyo akaunti ya twitter kama jamaa hajaifuta. Ila inakera na kutia hasira sana. Wale mbwa kama wangemfanyia vile binti yangu au ndugu yangu hakika wangelipa
 
Basi ngoja niendelee tu kuimagime
Labda nikusaidie kidogo kwenye imagination ili kukushep
Kuna jamaa mmoja ilikuwa imesimama kwa nyuma ya binti inapeleka moto mzito wa kifedhuli......
huku binti wa watu masikini akinyony.......mb....kwa jamaa ya mbele
Wakati nyingine ikijiandaa........daah wale jamaa ni wauaji
Polisi wasipowakamata leo
Nakwenda kuwakamata mwenyewe
 




Ni issue ya saikolojia ZAIDI mkuu

MTU akivaa gwanda huwa anahisi yeye sio raia wa kawaida na anastahili kupiga ,kuonea ikiwezekana kuua that is superiority complex.


So hii inawasumbua vijana Sana na mwisho matokeo yake ndo Kama haya

Katika umri mdogo

Unapoteza Kazi
Unapoteza Uhuru wako
Unarudi kuwa tegemezi
Unafungwa na kuwa mfungwa.

Na mwisho unashindwa kuwa na positive impact kwa familia yako na kwa jamii yako.


Ukiangalia kiundani hata FAMILIA sio ajabu wanatoka familia za kawaida Sana .

Ukija kwa binti ndo Yale Yale

Unatembea na mme wa MTU kisa hela ya kula tu.

Umri wake labda angekuwa shule
Angekuwa anachumbiwa
Au angekuwa anafanya shughuli zake halali


So inasikitisha Sana kutokuwa logical

Binti +vijana +mke wa mtu +Mme wa MTU =
 
Umeongea vizuri tena kwa uchungu kana kwamba una ka jiexpirience. Uliwahi kuchitiwa labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…