Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Kweli
Kweli kabisa,nakumbuka nilipokuwa secondary,jamaa zangu waliniambia kuna dada anatakiwa akabakwe msituni wa shule,Mimi moyo wangu uligoma kabisa, Matokeo yake wote walifukuzwa shule!Sasa wamekuwa watu wazima,mmoja nilikutana nae anajutia jambo hili na halitokaa limtoke kichwani ni la kipuuzi mno.
 
Na mmoja anavuta sijui ni bange Ile au sigara
 
swali lipo wale ambao hawa wajui watajuaje wa husika ndo hawa ili wasaidie kutoa ushirikiano
Ushirikiano wa wananchi wala sio jambo la msingi,

Haja ya wananchi (Umma) kuwajua wahusika kwa sura haipo. Labda kama una nia yako nyngine na hio video

Kwani hata hao wananchi wasipo toa huo ushirikiano ndio Mamlaka zitashindwa. ?

Mbona hichi unacho hoji nicha kijinga sana
 
Lets not base on one side,tumesikia malalamiko ya wanaume wengi kama unavyodai,hebu tujaribu kusikia upande wa wanawake na changamoto zao

Sio kila anaelalamika humu JF yupo kwenye ndoa,waliopo kwenye ndoa wataelewa point yangu
 
Ndugu ni wale wapongezi kwa kunyoa vichwa?
 
Well said,watu wengone wana msongo wa mawazo na shida za akili ambayo inapelekea wao kuchukua maamuzi ya kijinga
 
Nichakijinga kutokana na uelewa wako
 
Marafiki wa mkumbo mkumbo ni wabaya sana
 
Hivi inakuwaje mtu Mwanajeshi ufanye kitendo kibaya kama hicho, ujirekodi na kisha uiweke hadharani mitandaoni?? How comes???
Ni kweli Wana akili timamu sawa sawa kweli???
Wapo wengi sana majeshini. Huwa nashangaa wabongo wanavyolisifia kupitiliza jeshi letu wakati limejaa vilaza idadi isiyohesabika. Wangekuwa hata mafundi seremala njaa kali sidhani kama wangefanya hivyo.

Kwa akili hizi ndio ukang'amue suala la life and death kwenye uwanja wa vita na ulimwengu huu wa teknolojia? Unadhani hao nguruwe wanajua hata UAV ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…