Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Aisee wakikamatwa tuh jela maisha maana huo NI mtungo na hukumu Yake NI maisha
Wanawake wanaofanyiwa unyama namna hii wako wengi tu sema wanaogopa kutoka hadharani. Hata huyu kama siyo hao wabakaji kujirekodi na kuiachia mambo yangeisha hivi hivi kwani kale kabinti kanaonekana ni kasingeweza kusema chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…