Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Shetani akikutawala dakika kumi anaweza kupoteza maisha yako yote yaliyobaki!

Hawa watu walikuwa wanajua kuwa kwa kufanya hivi wamejihukumu kwenda kufia jela?
Sijui walikuwa wanawaza nini. Hawa ni wahuni by nature. Sijui huko jeshini waliingiaje. Huyo sijui boss wao naye ni muhuni. Yaani hili litamfanya mume wake ajuie kumbe alikuwa anaishi na jambazi ndani
 
Kuna mtandao wa Jamaica/Marekani wanaziuza hizo baikoko kwa kuwalipisha member wao $50 AS monthly Subscription plan So hao wachonjoaji wanatumika kunufaisha watu wengine bila wao kujua ,pia kuichafua vibaya mno nchi yetu maana wenye huo mtandao wanasema ni utamaduni wetu kufanya hizo mambo.
 
Bora ukose pesa ila sio akili.
1)UKIAMBIWA CHAGUA KATI YA PESA NA ELIMU JIBU NI KUCHAGUA PESA.
2)LAKINI UKIAMBIWA CHAGUA KATI YA PESA NA AKILI JIBU NI CHAGUA AKILI .

Kwa sababu AKILI ni zaidi ya PESA na PESA ni zaidi ya ELIMU...ukiwa na pesa unaweza kuajili wenye elimu wakakutumikia au wakakufunza elimu.
 
Sina maneno mengi ila kusema Tanzania kwisha habari yake. Rasmi Tanzania siyo sehemu salama ya kuishi ama kutembelea. Nguvu tunayotumia kutangaza utalii wetu ni hopeless kabisa na kama mambo yataendelea hivi, hakuna haja ya kusema tuna vyombo vya Sheria. Mtoto wa kike anapaswa kulindwa na mamlaka kukaa kimyaa ni kutudharau watanzania.
 
We sema tu unapenda iyo mambo isambae basi

Yani ubongo wako ni empty kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…