Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Ni ujinga wa kiwango cha lami. Badala kubdeal na mume unaenda ku deal na mwanamke mwanzako. Kazi hana, mume atamkosa na jela inamhusu. Wakati mwingine sijui watu wanafikiria kwa kutumia nini.
Usidhalilishe lami brother
Iyo askari no mjinga kama kinyesi
To me anafaa kufananishwa na kinyesi
 
Ila wale jamaa sijui wa wapi yaani unabaka huku unajirekodi then unatuma kwa watu ni kwamba nchi hii ya baba ako umeishika🚮🚮
Hao ni maafande rejea lugha ya kuitana "baba" Mara nyingi utumia kuitana katika mawasiliani Yao unaweza kuwa ni PT au TPDF
 
Brother ao cyo maafande
And kesho utaskia report zao
Hao vijana(maafande) kwenye clip wanamwambia Binti mwombe msamaha afande(alieibiwa mume) sasa inawezekana vipi kwenda kutafuta raia wa kawaida kumfanyia unyama huyo mtoto wakati unajua raia na askari hawachangamani kwa upande mwingine hilo jambo ni kisasi na pia inahitajika kutunza siri
 
Wa kulaumiwa ni huyo mwanaume. Kwanza kale kabinti kanaonekana ni kashamba na huenda huyo mume wa mtu alikadanganya hajao. Kiumri anaonekana ni mdogo sana.


Kabisa Yani.
Halafu huwa hawajiulizi utafanyia hivyo wanawake wangapi ?
Maana akikataliwa na huyo ataenda kukubaliwa na mwanamke mwingine na mwingine au anazani bwana ndio ataacha kuchepuka daima dumu?
 
Back
Top Bottom