Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

Wanakimbia kufungo cha maisha na mateso mengine. Akili ndio zinarudi baada ya bangi na pombe kuisha.
Kwel mkuu hata kama mm ndo ningekuwa nmefanya huo ujinga nisingekaa maana ile issue ni moto.

Siungi mkono kwa kilichotokea hata kidogo ila ingekuwa mm dah ningekimbia kama mhaino vile
 
Acha ushamba mkuu hata kama we ndo ungekuwa umefanya ungekuwepo mpaka saivi au ungekuwa chaka umejifichaaa???

Nao wanaokoa nafsi zao mkuu. Polisi tusiwalaumu bure unafikiria saivi nao hawajaambiwa penal code 131A inasemaje?

Mbona yule wa Mbeya alidakwa chap kwa haraka? Inatia shaka kwa Jeshi letu kushindwa kuwakamata wahuni ndani ya 24 hrs.
 
Hapa tutapigwa na kitu kizito, hakuna kitakachofanyika,
Kule mtwara, Maofisa wa kubwa wa polisi,waliuwa kwa sindano ya sumu, wakaiba 33M! Mpaka Leo, kesi IPO tu, watu hawajapigwa kitanzi!
Kuna binti alitinduliwa malinda na mkuu wa mkoa, kila siku, upelelezi unaendelea, hv hapa unachunguza nini? Aliyetendewa yupo, anasema alilazimishwa, hapa ilikuwa ku cheki makalio na kuona kama aliingiliwa kwa nguvu simple tu,
huyo binti wa mkuu wa mkoa alienda polisi akaitoa kesi mwenyewe hiyo ilikuwa ni mambo yao ya kisisa ila hawa ninawasisi huenda wasikamatwe maana hadi sasa kama hawajakamatwa ni aibu kwa polisi
 
Nikajua BINTI kakubali mwenyewe. Mbona kama alikuwa anaenda nao sawa? Ananyonya sana bila hata kushurutishwa,halii Wala nini. Wala Hawazii. Alikuwa na ushirikiano wa kutosha
alifanya hivo ili asiumie zaidi angeweza kufa hapohapo ...ili mwanamke asipate maumivu makali akibakwa inabidi achukulie kam yuko kwenye sex na kama wabakaji hawajatumia madawa wanaweza piga hata watano na demu asifanye kitu mbaya akiresist ataumia sana........hii ni trick ambayo wanajesh wa kike hufundishwa pamoja na watu wa TIS wa kike
 
Back
Top Bottom