Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Kwel mkuu hata kama mm ndo ningekuwa nmefanya huo ujinga nisingekaa maana ile issue ni moto.Wanakimbia kufungo cha maisha na mateso mengine. Akili ndio zinarudi baada ya bangi na pombe kuisha.
Siungi mkono kwa kilichotokea hata kidogo ila ingekuwa mm dah ningekimbia kama mhaino vile